Shinyanga: Polisi wafanikiwa kuzuia ndoa ya binti aliyefaulu kwenda kidato cha tano

Hiyo ni operation iliyokuwa inamuhitaji hadi mkuu wa mkoa??
 
Hawa washenzi, kwani Binti hawezi kuolewa akaendelea na shule? Hii ni kuzuia maamuzi binafsi ya watu

Walimu mnawapa kazi sana na mishahara mbuzi, sasa huyu binti aliyepelekwa shule na SMG unategemea atasoma kweli
Issue sio kuolewa ni he Binti aliridhia kuolewa? Maana wazazi wao huwa wanalazimisha ndoa pasipo ridhaa ya Binti.
 
Sasa unazuia ndoa….unaruhusu zinaa

..Kwa hiyo mnatuonyesha ziwa huku mmeziziba chuchu…

Na uku mtaani kuna kuna wasome wengi hawana kazi wa ubunifu…wamebaki kuwa machawa
Acha kuchanganya mambo hapo,kilichozuiliwa hapo ni ndoa ya Mwanafunzi,uliwahi ona wapi polisi wakija kuzuia ndoa ya mtu mwenye zaidi ya miaka kumi na nane na ambae siyo mwanafunzi,huyo msichana hapo ni mwanafunzi,tena mwanafunzi wa sekondari,bora angekuwa chuo,na awe na zaidi ya miaka kumi nane,hakuna ambae angeenda kuzuia hiyo ndoa.
 
Hawa washenzi, kwani Binti hawezi kuolewa akaendelea na shule? Hii ni kuzuia maamuzi binafsi ya watu

Walimu mnawapa kazi sana na mishahara mbuzi, sasa huyu binti aliyepelekwa shule na SMG unategemea atasoma kweli
Serikali kujua yote yaliyonyuma ya hiyo ndoa ni jamii yenyewe waliotoa taarifa na unaweza kukuta ni Binti mwenyewe au ndugu baada ya kutokubali ndoa ifanyike.
 
Kwenye mambo ya kutumia akili tunatumia nguvu kubwaa polee Tanzania…..sasa bunduki za nn apo,Aya tuseme bint alikuwa na mpango wa kwenda chuo
Ebu tuache sisi wenye watoto wa kike na tunawapenda sana tuchangie. Mimi niliishasema na naendelea kusema, ku tamper na Binti zangu ni kifo tu!!!!
 
Huyu samia wenu nae aliolewa mwaka mmoja baada ya kumaliza kidato cha 4, mbona yupo tu fresh. Acheni ujinga na sifa za kisenge, huyo binti akija kuwa single mama nyie ndio mtaanza kumcheka na kumkebehi.

Shithole
Tunasema hivi,hiyo ndo lazima izuiwe tu,kuwa single mother ni uamuzi wa mtu,lakini siyo kumfanya mwanafunzi wa shule kuwa mama,hao masingle mother unaowafahamu wamekuwa single mother baada ya kuwa wao siyo wanafunzi wa shule,acha kujichanganya
 
Ikiwa ni tofauti ya siku mbili tangu kuadhimishwa siku ya mtoto wa Afrika ilikwend ana kauli mbiu ya Mpe nafasi msichana boresha sheria ya ndoa na kuchagizwa na mabango yenye jumbe mbalimbali kama USINIPE MUME NIPE ELIMU.

Huko mkoani Shinyanga hali ni tofauti kabisa kwani imejitokeza tukio la kuozeshwa binti aliyefaulu na kuchaguliwa kwenda kidato cha tano. Wazazi wameona ni bora mtoto huyo akaolewe na kukatiza ndoto zake za kuendelea na maso.

=====
Jioni ya jana timu ya wataalam mbalimbali ikiambatana na Mhe Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christine Mndeme na vyombo vya DOLA wamefika katika kijiji cha Mwawaza na kufanikiwa Kuzuia NDOA ambayo Bi Harusi ni Mwanafunzi aliyechaguliwa kuingia kidato cha tano ila wazazi wake wakaamua KUMUOZESHA Sasa Hawa Wazazi watajua kuwa Shinyanga ya Mndeme ni ya ELIMU na SIYO kuoa WANAFUNZI.

Nawapongeza serikali sababu hoja ni mtoto wa kike akaendelee na masomo ya kidato cha tano ikiwezekana afike hadi chuo.Kinachonichosha,mabinti wengi wanafaulu na kufika hadi chuo then wanaanza kuhangaika kutafuta ajira na kutafuta waume wa kuwaoa pia.Vijana wengi wa kiume siku hizi nao hawataki kuoa sababu ya hofu ya kipato chao.Baada ya kuanza kuwakamata hawa wanaowaowa wanafunzi,Serikali pia ikaliangalie na hili la ukosefu wa ajira na mabinti kukosa watu wa kuwaoa
 
Hivi kama hataki... Utamlazimisha.

nchi yetu elimu ya lazima ni ya msingi tu.
 
Acha kuchanganya mambo hapo,kilichozuiliwa hapo ni ndoa ya Mwanafunzi,uliwahi ona wapi polisi wakija kuzuia ndoa ya mtu mwenye zaidi ya miaka kumi na nane na ambae siyo mwanafunzi,huyo msichana hapo ni mwanafunzi,tena mwanafunzi wa sekondari,bora angekuwa chuo,na awe na zaidi ya miaka kumi nane,hakuna ambae angeenda kuzuia hiyo ndoa.
Siku hizi Advance ni sekondari!!?….any way ndo tuseme mwanafunzi amechagua kwenda chuo sasa..!!

Tunalazimishana kusoma afu issue za ajira vijana wanaishia kudanga….yaani wanakuwa hopeless kabsa wakiangalia muda na pesa walizopoteza wajuta..

Ila viongozi wengi vichwa vyao ni mizigo kwenye miili Yao..
 
Kama mtu anataka kudanga,adange tu,ila asiwe mtoto wala mwanafunzi,kusoma na kupata ajira ni ishu nyingine,muache asome,siyo unakuja kusema eti kwa sababu ajira hakuna basi asisome,kha ya wapi haya.
Halafu mbona unakomalia sana huyo mwanafunzi kuolewa,au na wewe ndo wale wale
 
Siku hizi Advance ni sekondari!!?….any way ndo tuseme mwanafunzi amechagua kwenda chuo sasa..!!

Tunalazimishana kusoma afu issue za ajira vijana wanaishia kudanga….yaani wanakuwa hopeless kabsa wakiangalia muda na pesa walizopoteza wajuta..

Ila viongozi wengi vichwa vyao ni mizigo kwenye miili Yao..
Advance yaani form V na VI ni chuo? Kwani ukimpa mimba mwanafunzi wa form 5 au 6 hufungwi?
 
Kwenye mambo ya kutumia akili tunatumia nguvu kubwaa polee Tanzania…..sasa bunduki za nn apo,Aya tuseme bint alikuwa na mpango wa kwenda chuo
we kafanye mambo yako, mambo ya polisi waachie wenyewe, mnajifanya mnajua kila kitu kumbe zero.
 
we totally ni zero brain, ficha huo upumbavu wako. Hujui hata maana ya mwanafunzi? Jinga kabisa, msukuma nini?
Kuna watu hawajielewi kabisa,anafikiri kila wakati akikuta mwanafunzi hata wa kidato cha pili ana zaidi ya miaka kumi nane,anafikiri sheria itamuacha salama,angejua mwanafunzi anezungumziwa hapo,basi asingesema hayo maneno
 
Vipi kuhusu wale mabinti ambao wamehitimu na 'kombi hazibalance' na wao hawapaswi kuolewa?
 
Ikiwa ni tofauti ya siku mbili tangu kuadhimishwa siku ya mtoto wa Afrika ilikwend ana kauli mbiu ya Mpe nafasi msichana boresha sheria ya ndoa na kuchagizwa na mabango yenye jumbe mbalimbali kama USINIPE MUME NIPE ELIMU.

Huko mkoani Shinyanga hali ni tofauti kabisa kwani imejitokeza tukio la kuozeshwa binti aliyefaulu na kuchaguliwa kwenda kidato cha tano. Wazazi wameona ni bora mtoto huyo akaolewe na kukatiza ndoto zake za kuendelea na maso.

=====
Jioni ya jana timu ya wataalam mbalimbali ikiambatana na Mhe Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christine Mndeme na vyombo vya DOLA wamefika katika kijiji cha Mwawaza na kufanikiwa Kuzuia NDOA ambayo Bi Harusi ni Mwanafunzi aliyechaguliwa kuingia kidato cha tano ila wazazi wake wakaamua KUMUOZESHA Sasa Hawa Wazazi watajua kuwa Shinyanga ya Mndeme ni ya ELIMU na SIYO kuoa WANAFUNZI.

Safi sana
mkiambiwa wasukuma bado sana muwe mnaelewa. Ujinga na ushamba sana
Ni Mila na tamaduni zimemnyima haki na sauti mtoto wa like.
 
Back
Top Bottom