Shinyanga: Polisi wafanikiwa kuzuia ndoa ya binti aliyefaulu kwenda kidato cha tano

Unaanzaje kumlazimisha mtu kwenda A level??

Kama anataka aende kusoma diploma ndio aende degree??

Wanaojifanya wanatetea ndoto za watu si ndio hao hao wanawanyima mikopo na ajira??

Si ndio hao hao wanawapangia combination wasizozitaka??
 
Hayo ndio Mambo wanayoweza.
Kuendesha bandari hawawezi halafu wanafikiri hakuna mtanzania anayeweza.
 
Nimeiona hii video ya binti kuvamiwa kwenye harusi-nimeshangaa sana.

Hivi kulikuwa na ulazima gani wa kuvamia harusi huku ukiwa na polisi wengi namna ile tena wenye silaha nzito?

Je ulipokuwa unafanya tukio hilo hukufikiri kuhusu athari za kisaikolojia atakazobaki nazo huyo binti-ambaye wewe unaona kama unamsaidia?

Haujawatendea haki hao watoto pamoja na wazazi wao.

Ni kosa wamefanya lakini utaratibu uliotumika kusolve tatizo utaharibu zaidi kuliko kujenga.

Hilo tukio litamuathiri binti muda mrefu na huenda likasabisha akaichukia zaidi hiyo shule yenyewe.

Ingekuwa vema ungezuia hili tukio kabla au baada na si wakati linaendelea ili kulinda saikolojia za hao watoto au hata wakati linaendelea lakini kwa utaratibu unaofaa.
 
Watanzania wengi wanapenda kiki mkuu, Hapo ukute taarifa zote walikuwa nazo Ila wakaona wawashtukize kwenye Tukio lenyewe while vitu Kama vile vinaweza sululishwa hata na mwenyekiti tu sababu naye Ni serikali na ikawa Sawa tena kwa amani wakaona wasubiri waende na silaha yani Ni foolish sana
 
Hata mimi nimeona ni kiki tu hakuna cha jambo la dharula hapo
 
Nimeiona hii video ya binti kuvamiwa kwenye harusi-nimeshangaa sana.

Hivi kulikuwa na ulazima gani wa kuvamia harusi huku ukiwa na polisi wengi namna ile tena wenye silaha nzito?

Je ulipokuwa unafanya tukio hilo hukufikiri kuhusu athari za kisaikolojia atakazobaki nazo huyo binti-ambaye wewe unaona kama unamsaidia?

Haujawatendea haki hao watoto pamoja na wazazi wao.

Ni kosa wamefanya lakini utaratibu uliotumika kusolve tatizo utaharibu zaidi kuliko kujenga.

Hilo tukio litamuathiri binti muda mrefu na huenda likasabisha akaichukia zaidi hiyo shule yenyewe.

Ingekuwa vema ungezuia hili tukio kabla au baada na si wakati linaendelea ili kulinda saikolojia za hao watoto au hata wakati linaendelea lakini kwa utaratibu unaofaa.
Wajinga sana wale police wavamizi. Walitaka kutengeneza script ili wawe maarufu tu hakuna la zaidi. Police mara nyingi wanatumia nguvu kuliko akili
 
Kabisa ni aibu mno kuvamia kwa nguvu na mabundiki yale kwa watu ambao hawajashika hata fimbo..
 
Hata mimi nimeona ni kiki tu hakuna cha jambo la dharula hapo
Video ipo wapi mnaongea as if wote tumeona weka video tuijadiri baada ya kuiona, alafu mnaongea kimafumbo mnamuogopa Nani? Mnafichaficha majina ya wahisika mnaiogopa Nini?
 
Hii hapa
 
Nimeiona hii video ya binti kuvamiwa kwenye harusi-nimeshangaa sana.

Hivi kulikuwa na ulazima gani wa kuvamia harusi huku ukiwa na polisi wengi namna ile tena wenye silaha nzito?

Je ulipokuwa unafanya tukio hilo hukufikiri kuhusu athari za kisaikolojia atakazobaki nazo huyo binti-ambaye wewe unaona kama unamsaidia?

Haujawatendea haki hao watoto pamoja na wazazi wao.

Ni kosa wamefanya lakini utaratibu uliotumika kusolve tatizo utaharibu zaidi kuliko kujenga.

Hilo tukio litamuathiri binti muda mrefu na huenda likasabisha akaichukia zaidi hiyo shule yenyewe.

Ingekuwa vema ungezuia hili tukio kabla au baada na si wakati linaendelea ili kulinda saikolojia za hao watoto au hata wakati linaendelea lakini kwa utaratibu unaofaa.

Halafu utafikiri ada watamlipia wao
 
Back
Top Bottom