Huyo binti alimaliza form four mwaka jana nathani kachaguliwa kujikinga na kidato cha tano ndio maana serikali ikaingilia kati ,Ingawa hawajafanya busara kwa kubeba bunduki kama vile kuna vitaAnasoma Chuo gan?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo binti alimaliza form four mwaka jana nathani kachaguliwa kujikinga na kidato cha tano ndio maana serikali ikaingilia kati ,Ingawa hawajafanya busara kwa kubeba bunduki kama vile kuna vitaAnasoma Chuo gan?
Wewe unashangaa kwenye kuoa tu. Wanavamiaga hadi vijiwe vya burgerSasa siku hizi wanavamia kwenye kuoa?
Au jamaa alichukua mke wa polisi
Hakuwa mwanafuzni wa chuoNimeona mkuu huyo mwanafunzi wa Chuo gani ?
Alikuwa mhitimu wa kidato cha nneAnasoma Chuo gan?
Huyo binti alimaliza form four mwaka jana nathani kachaguliwa kujikinga na kidato cha tano ndio maana serikali ikaingilia kati ,Ingawa hawajafanya busara kwa kubeba bunduki kama vile kuna vita
Sasa km amehitimu hawaoni mayai yamekomaa tayari ?Alikuwa mhitimu wa kidato cha nne
Akimaliza elimu ,watamtafutia wa kumuoaIkiwa ni tofauti ya siku mbili tangu kuadhimishwa siku ya mtoto wa Afrika ilikwend ana kauli mbiu ya Mpe nafasi msichana boresha sheria ya ndoa na kuchagizwa na mabango yenye jumbe mbalimbali kama USINIPE MUME NIPE ELIMU.
Hakufaulu kwenda form fiveHuyu samia wenu nae aliolewa mwaka mmoja baada ya kumaliza kidato cha 4, mbona yupo tu fresh. Acheni ujinga na sifa, huyo binti akija kuwa single mama nyie ndio mtaanza kumcheka na kumkebehi.
Shithole
hatukula hata.Inasikitisha sana
Vp muda wa chakula Uli kuwa tayari au bado
Kwa hio walitakaje wakati binti kashavunja ungo na anataka kuolewa mwenyewe? Kwani hajavuka miaka 18? Ninavyomuangalia namuona ni binti mkubwa tu kwenye video ukimuona huwezi sema mwanafunzi ndio maana wengine wanaachana na hizi habari za form 5/6 wanaenda kusoma diploma huko hata ukiolewa hakuna anaehojiHakuwa mwanafuzni wa chuo
Yaani amemaliza form alitakiwa kuendelea na kidato cha tano
Na ndio anaenda kua single mama tayari kashakatiwa ticket labda hao hao waliomzuia asiolewe akimaliza wamuozeshe na gharama zote walipe wao kuanzia mahari na gharama za ukumbi wa shereheHuyu samia wenu nae aliolewa mwaka mmoja baada ya kumaliza kidato cha 4, mbona yupo tu fresh. Acheni ujinga na sifa, huyo binti akija kuwa single mama nyie ndio mtaanza kumcheka na kumkebehi.
Shithole
Akishamaliza shule huyo atakua hana mume ana wanaume na stress juu za kulea watoto peke yake bila Ndoa,Ikiwa ni tofauti ya siku mbili tangu kuadhimishwa siku ya mtoto wa Afrika ilikwend ana kauli mbiu ya Mpe nafasi msichana boresha sheria ya ndoa na kuchagizwa na mabango yenye jumbe mbalimbali kama USINIPE MUME NIPE ELIMU
Mkuu wa mkoa akikuwa anataka kiki HAMNA cha uchungu wala nini.mbona haendi kuwahurumia akinaa mama vijijini hawana maji ndoo KICHWANI kila sikuKwani afisa maendeleo na polisi si walikua wanatosha? Huyo mkuu wa mkoa alifata nini?
Jibu swali mwanafunzi alikuwa Na umri gani?? Na umri wa kuolewa ni miaka mingapii??Acha tu hivyo nguvu itumike,laiti ungejaribu hata siku moja kuingia kuzuia mambo kama haya,ndo ungejua umuhimu wa kuwa na askari karibu.
Nimeipenda hiyo
Na sheria ya Ndoa inatoa kibari hicho sasa kosa lao lipo wapi ? Sheria inatamka wazi Mtoto anaweza kuolewa kwa idhini ya wazazi km yeye amekubari kuolewa na wazazi wamekubari aolewe shida ni Nini ? Au Serikali inampa udhamini wa kudumu hata akifeli form 6 itakua tayari kumuendeleza ?Kama bint alikua above 18yr, ni kuingilia maamuzi ya familia za watu.
Kiki za kijinga dunia imebadirika km yeye hajaolewa asiforce wengine wasiolewe mwisho waishie kudanga,Mkuu wa mkoa akikuwa anataka kiki HAMNA cha uchungu wala nini.mbona haendi kuwahurumia akinaa mama vijijini hawana maji ndoo KICHWANI kila siku
Sasa mkuu unamuhusishaje bint na mam samiaaa ,[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mabinti kuolewa wala hakukatishi ndoto ni kukariri maisha tu.
Rais wa nchi hii alihitimu kidato cha nne 1977 na mwaka 1978 akaolewa!
Ndoto zipi hajatimiza?