econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Mbona sheria inaruhusu kwa miaka kumi na nne? Kwa ridhaa ya wazazi.Sheria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona sheria inaruhusu kwa miaka kumi na nne? Kwa ridhaa ya wazazi.Sheria
Mbona vurugu haijatokea. Mnavamia harusi kutafuta umaarufu. Mara muanze kuwapiga picha maharusi Kama kuwadhalilisha.What if kama kungetokea vurugu unafikir hao polisi wangejihami vipi ?
Haijatokea ndio jambo la kushukuru, watu washajiandaa kwa sherehe kama hiyo alafu unaingia kati kuisitisha unafikir ni jambo dogo lazima ujiandae kwa lolote mkuuMbona vurugu haijatokea. Mnavamia harusi kutafuta umaarufu. Mara muanze kuwapiga picha maharusi Kama kuwadhalilisha.
Furaha yake imekuja baada ya kupata msaada wa kuokolewa kwenye ndoa isiyotokana na ridhaa yake.Umejuaje? Mbona Binti ana furaha kabisa na ndoa yake?
Umejuaje au wewe ndio bibi Harusi?Furaha yake imekuja baada ya kupata msaada wa kuokolewa kwenye ndoa isiyotokana na ridhaa yake.
Yaweza ikawa yeye ndio Bibi harusi kaingia JfUmejuaje au wewe ndio bibi Harusi?
Bunduki ndo njia ya kujihami kwa raia wasiokuha na record ya uhalifu….Lolote linaweza kutokea mkuu lazma ujihami
What if bunduki ingetumika vibaya….inaenda na bunduki kwenye watu wasio jihami tena watu wapo kwenye furaha…What if kama kungetokea vurugu unafikir hao polisi wangejihami vipi ?
Iwe kiki,isiwe kiki,muhimu,tukio lishafanyika na ndoa kwa mwanafunzi ishazuilikaHata mimi nimeona ni kiki tu hakuna cha jambo la dharula hapo
Shida sio kuzuia ndoa ya mwanafunzi shida wazuiaje hiyo ndoa.Iwe kiki,isiwe kiki,muhimu,tukio lishafanyika na ndoa kwa mwanafunzi ishazuilika
Kawaida kuzuia matukio kama haya inawezkuleta athari kama hapatokuwepo nguvu ya kutosha, kwa aina ya tukio hilo,hakuna ubaya nguvu iliyotumika.Shida sio kuzuia ndoa ya mwanafunzi shida wazuiaje hiyo ndoa.
Kuzuia ndoa ni sahihi,wanamlinda mtoto .
We unafikiri hiyo situation haitamuathiri huyo wanaemlinda??
Au akisema hataki kusoma anataka kuwa mkulima na mfanyabiashara wa mazao.Huyo mdada akienda kusema sutaki kwenda form five,badala yake nataka kwenda chuo cha kati,itakuaje?
Wamezingua.
Acha kuchanganya mambo,sheria hiyo haijasema Mwanafunzi wa secondary ruksa kuolewaAcha kudanganya watu sheria ya ndoa imeruhusu mtoto wa miaka kumi na nne kuolewa kwa ridhaa ya wazazi Kama wazazi wamekubaliana wewe unaingilia Nini?. Halafu kitu kingine elimu ya msingi ni form four kwa Sasa. Sasa kashavuka huko Bado mnamfuatilia.
Kichwa cha Post yako na video iliyopo vinatofautiana kwani ndoa ilikwishafungwa, polisi walizuia tafrija ya mkwilima na bi harusi.Ikiwa ni tofauti ya siku mbili tangu kuadhimishwa siku ya mtoto wa Afrika ilikwend ana kauli mbiu ya Mpe nafasi msichana boresha sheria ya ndoa na kuchagizwa na mabango yenye jumbe mbalimbali kama USINIPE MUME NIPE ELIMU.
Nikikuuliza nionyeshe Id yake yoyote inayomtambulisha kama mwanafunzi sjui utanipa hoja gani.....Mwanafunzi haijalishi kuwa ameenda shule au hajaenda shule,taarifa inasema kwamba anatarajiwa kuingia kidato cha nne, kwa maana hiyo bado anahesabika kama mwanafunzi,kama angekuwa hayupo katika mahesabu ya kwenda shule, basi ungekuja kutetea hoja yako hii dhaifu.
Kama utasema huyo bado hajaenda shule,basi na hawa wengine wakiwa likizo tutasema hivi hivi kwamba bado hawapo shuleni, na kama kwenda shuleni ni hiyari, kwanini asingejitoa kwenye uanafunzi, lakini haiwezekani mtu bado upo kwenye mahesabu ya wanafunzi halafu aje mtu kusema kwamba eti shule ni hiyari,hivi unajua kweli kidato cha tano na sita bado ni wanafunzi ama na wewe tukupe mtihani wa uelewa
Wewe nani amekwambia yeye ni mwanafunzi na kigezo kipi haswa wametumia kumuita yeye mwanafunziNyie wazazi mapopoma endeleeni kuuchonga tu hapa nyuma ya keyboard zenu tutawavunja miguuu! Ozesheni watoto wa kike walioko shuleni tuone kama mtasalimika!
Ina maana kwenu wanafunzi hamwajui?Wewe nani amekwambia yeye ni mwanafunzi na kigezo kipi haswa wametumia kumuita yeye mwanafunzi
Ni wazazi ndiyo wanataka binti aolewe wapate mahari wakati binti amechaguliwa kuendelea kidato cha tanoEti nipe Elimu,wanawake wangapi wanamaliza University wanakosa kazi,wanaishia kuwa michepuko au kudanga.Halafu Kuolewa si mwisho wa elimu,unaweza ukasoma chuo ukiwa umeolewa.Mimi ningekuwa huyo binti ningewashtaki hao mkuu wa mkoa,wangenipa fidia na shule siendi ningeanza kupiga biashara na mme wangu.