Shinyanga: Polisi wafanikiwa kuzuia ndoa ya binti aliyefaulu kwenda kidato cha tano

Shinyanga: Polisi wafanikiwa kuzuia ndoa ya binti aliyefaulu kwenda kidato cha tano

Huyo binti alimaliza form four mwaka jana nathani kachaguliwa kujikinga na kidato cha tano ndio maana serikali ikaingilia kati ,Ingawa hawajafanya busara kwa kubeba bunduki kama vile kuna vita
 
Kwani hata akisoma atapata kuajiriwa? Serikali mna guarantee kwamba akisoma ndo atatimiza ndoto zake? Wapo waliosoma na wanauza maji ya kandoro . Loh.
 
Ikiwa ni tofauti ya siku mbili tangu kuadhimishwa siku ya mtoto wa Afrika ilikwend ana kauli mbiu ya Mpe nafasi msichana boresha sheria ya ndoa na kuchagizwa na mabango yenye jumbe mbalimbali kama USINIPE MUME NIPE ELIMU.



Akimaliza elimu ,watamtafutia wa kumuoa
 
Huyu samia wenu nae aliolewa mwaka mmoja baada ya kumaliza kidato cha 4, mbona yupo tu fresh. Acheni ujinga na sifa, huyo binti akija kuwa single mama nyie ndio mtaanza kumcheka na kumkebehi.

Shithole
Hakufaulu kwenda form five
 
Hakuwa mwanafuzni wa chuo
Yaani amemaliza form alitakiwa kuendelea na kidato cha tano
Kwa hio walitakaje wakati binti kashavunja ungo na anataka kuolewa mwenyewe? Kwani hajavuka miaka 18? Ninavyomuangalia namuona ni binti mkubwa tu kwenye video ukimuona huwezi sema mwanafunzi ndio maana wengine wanaachana na hizi habari za form 5/6 wanaenda kusoma diploma huko hata ukiolewa hakuna anaehoji
 
Huyu samia wenu nae aliolewa mwaka mmoja baada ya kumaliza kidato cha 4, mbona yupo tu fresh. Acheni ujinga na sifa, huyo binti akija kuwa single mama nyie ndio mtaanza kumcheka na kumkebehi.

Shithole
Na ndio anaenda kua single mama tayari kashakatiwa ticket labda hao hao waliomzuia asiolewe akimaliza wamuozeshe na gharama zote walipe wao kuanzia mahari na gharama za ukumbi wa sherehe
 
Ikiwa ni tofauti ya siku mbili tangu kuadhimishwa siku ya mtoto wa Afrika ilikwend ana kauli mbiu ya Mpe nafasi msichana boresha sheria ya ndoa na kuchagizwa na mabango yenye jumbe mbalimbali kama USINIPE MUME NIPE ELIMU
Akishamaliza shule huyo atakua hana mume ana wanaume na stress juu za kulea watoto peke yake bila Ndoa,
 
Acha tu hivyo nguvu itumike,laiti ungejaribu hata siku moja kuingia kuzuia mambo kama haya,ndo ungejua umuhimu wa kuwa na askari karibu.
Nimeipenda hiyo
Jibu swali mwanafunzi alikuwa Na umri gani?? Na umri wa kuolewa ni miaka mingapii??
 
Kama bint alikua above 18yr, ni kuingilia maamuzi ya familia za watu.
Na sheria ya Ndoa inatoa kibari hicho sasa kosa lao lipo wapi ? Sheria inatamka wazi Mtoto anaweza kuolewa kwa idhini ya wazazi km yeye amekubari kuolewa na wazazi wamekubari aolewe shida ni Nini ? Au Serikali inampa udhamini wa kudumu hata akifeli form 6 itakua tayari kumuendeleza ?
 
Mkuu wa mkoa akikuwa anataka kiki HAMNA cha uchungu wala nini.mbona haendi kuwahurumia akinaa mama vijijini hawana maji ndoo KICHWANI kila siku
Kiki za kijinga dunia imebadirika km yeye hajaolewa asiforce wengine wasiolewe mwisho waishie kudanga,
 
Mabinti kuolewa wala hakukatishi ndoto ni kukariri maisha tu.

Rais wa nchi hii alihitimu kidato cha nne 1977 na mwaka 1978 akaolewa!

Ndoto zipi hajatimiza?
Sasa mkuu unamuhusishaje bint na mam samiaaa ,[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]


I'll angeachwa bhna Kam yey binafs ameridhiaa kuolewa had kanunua gauni jmn alfu dogo kafanyiwa fitin hyo
 
Back
Top Bottom