#COVID19 Shirika la Afya Duniani (WHO) laitaka Tanzania kujiandaa kupokea chanjo ya Corona

Mwaka huu wa 2021 kwangu uko vizuri, si unajua sisi tuliojiajiri hatutegemei mbeleko ya yoyote? Kama hujaelewa nilichoandika, toa maksi za kunifelisha kwenye hiyo marking scheme yako.
Inatosha tu kama umeelewa mwenyewe😂!
 
Sasa si mtengeneze ?, au mpaka mpewe ruhusa ? Eti tunataka..., haya mambo hayapatikani kwa wishful thinking bali kwa investment, research na experimentation, na kwa kutegemea neema ya Mungu badala ya kuumiza kichwa maabara tutasubiri sana na tutakuwa watu wa kutegemea misaada
 
Sasa hizo chanjo si mtengeneze wenyewe. Mnataka then awatengenezee nani? Hii akili ya wapi? Wao kama hawana malaria wewe mwenye nayo si utafute chanjo?kwani dawa za malaria zinazotumika zinatoka wapi? Tuanzie hapo.
 
Hatutaki kuchanjwa kwa lengi la kutufanya viuume vyetu vidogoshwe ili tusiwalambe mademu wa kizungu. Naona wameona wivu baada ya kuona tunawala Sana wao wanadharauliwa Mana tuna mashine kwelikweli
 
Hatuna haraka nayo, nyie na mabwana zenu na haraka zenu embu tupisheni! Tutakapo ihitaji tuta 'nvest' na kutengeneza! Kwa sasa tunapambana na malaria, kifua kikuu, ukimwi, kaswende, nk, covid-19 isitutoe kwenye reli😡, tupo serious ebo! Style ya maisha yetu yenyewe ni chanjo tosha afu wajinga wanatuletea upuuzi wa vijanjo vya kizushi mfyuuuuuu!
 
Corona hatuna, sasa mambo ya kuchanjana yanatoka wapi?

Hizi chanjo ndio zinazalisha mashoga hizi.

Miaka ya sabini machoko walikua wachache sana tofauti na sasa.
 
Haha mkuu unaandika kishabiki sana. Chanjo zitakuja na watu watachanjwa. Viongozi wetu watasafiri vipi kwenda bila kuchanjwa? Haya makelele mnayopiga humu ni ushabiki wa vyama na chanjo ikianza mtageuka tena kumtukuja huyohuyo aliyezikataa mwanzo
 
Mkuu hebu nitajie chanjo iliyowahitengenezwa Tanzania?
 
Sasa hizo chanjo si mtengeneze wenyewe. Mnataka then awatengenezee nani? Hii akili ya wapi? Wao kama hawana malaria wewe mwenye nayo si utafute chanjo?kwani dawa za malaria zinazotumika zinatoka wapi? Tuanzie hapo.
Hivi huelewi! Dawa za malaria tunazijua mpaka na 'pharmacodynamic & kinetics! Hiyo chanjo walioikimbiza hatakaharaka baada ya kutengeza kirus ndio hatuielewi na hatuitaki! Na kukazia tu hatuhitaki kuielewa maana tumeshajua lengo lake!
 
🤣🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwisho wa siku hii chanjo tutapewa bure huku wengine wakiinunua kwa gharama mara mbili!

Saa nyingine mikwara ya JPM inasaidia sana.
Nimeipenda iyo coment
 
Haha mkuu unaandika kishabiki sana. Chanjo zitakuja na watu watachanjwa. Viongozi wetu watasafiri vipi kwenda bila kuchanjwa? Haya makelele mnayopiga humu ni ushabiki wa vyama na chanjo ikianza mtageuka tena kumtukuja huyohuyo aliyezikataa mwanzo
Aisee, kweli hujaelewa kinachoendelea! Yaani umeshajua hii ni sumu na haifai afu urudi kinyumenyume uinywe! Bado hujaielewa Tz ya sasa chini ya mtumishi wa Mungu Magufuli ww! Hiyo imeisha hiyo!
 
Hivi upo serious, unafurahisha baraza au una muda wa kupoteza ? Fanya research kidogo tu hayo magonjwa uliyotaja kama kuna au hakuna mchango wa hao so called mabeberu (sometimes wanaitwa wadau) depending mnapiga siasa wapi....

Tuache siasa kwenye vitu serious...., alijisemea 2 Pac... "You Say its a White Man I Should Fear..., But its my Own Kind Doing all the Killing Here"
 
Nikwasababu wanauwezo na miundombinu ya kuzitengeneza
 
Mkuu hebu nitajie chanjo iliyowahitengenezwa Tanzania?
Dogo ulikuwa bado kuzaliwa, na zilitengenezwa hapo ubungo external! Mpaka wajinga walipo tusaliti kwa vipande vya fedha na kuishauri serikali kuanza kuagiza kwa watengezaji wa ughaibuni
 
Nikwasababu wanauwezo na miundombinu ya kuzitengeneza
oooooh no no no no, basi haina maana ya WHO, WHO has to join all nation to make one kind of vaccine no separately like this. This is global immunity because we are both suffering from one disease.
 
Aisee, kweli hujaelewa kinachoendelea! Yaani umeshajua hii ni sumu na haifai afu urudi kinyumenyume uinywe! Bado hujaielewa Tz ya sasa chini ya mtumishi wa Mungu Magufuli ww! Hiyo imeisha hiyo!
Nimesema hivyo kwa vile hata chanjo ya polio ilipataga upinzani kwenye baadhi ya inchi za Africa , Asia na America kusini na sababu zilikua kama hizi za sasa lakini mwisho wa siku mataifa huko kote yaliachia na watoto waliendelea kuchanjwa. Mwisho wa siku waliokuwa wanazuia chanjo walionekana wajinga
 
Dogo ulikuwa bado kuzaliwa, na zilitengenezwa hapo ubungo external! Mpaka wajinga walipo tusaliti kwa vipande vya fedha na kuishauri serikali kuanza kuagiza kwa watengezaji wa ughaibuni
Bado hujaitaja hiyo chanjo
 
Wakileta dawa na chanjo za kikweli wanakuwa wadau, lakini wakileta sumu ya kutudhoofisha kiuzazi, kifikra au kutuua polepole wanakuwa mabeberu! Bado hujaelewa tu hapo! Jambo hili lipo serious kuliko neno 'serious' lenyewe! Hawa mabwana zako wako serious na kutuhujumu! Ww ambaye bado kujitambua ndio utaona haya yote tuyasemayo ni porojo!
 
Kwahio mfano wa hii sumu ya Corona wakiwapa wananchi wao inakuwa pipi, ngozi nyeusi inakuwa sumu ? Na ungejua Capitalist Countries wanatuhitaji sisi tukiwa hai (as a market, labor force and source of raw materials) haya yote usingesema...

Tunajiona werevu tunawapeleka watu wetu kwenye machimbo, wanaharibu afya zao na makemikali kuchafua vyanzo vya maji ili tu tuchimbe so called madini tubadilishane na pesa zao (dollars) na tunajiona matajiri wakati bling bling wanavaa wao sisi huku tunabaki na afya mbovu... alafu tunatafuta mchawi ni nani.., na mwanasiasa ili asilaumiwe yeye anaku-convice kwamba wale ndio mwanzo na mwisho wa matatizo yako....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…