Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Magufuli akatae chanjo yeye na familia yake , hana mamlaka juu ya afya za wengine .Kuna kitu kinaitwa International Health Regulations (IHR) 2005 inatubana kwenye hili, busara inatakiwa kutumika hapa kuepuka mgongano
wachahe saana watakuelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwisho wa siku hii chanjo tutapewa bure huku wengine wakiinunua kwa gharama mara mbili!
Saa nyingine mikwara ya JPM inasaidia sana.
angalia hayo mauzauza ya chanjo yenyewe.. acheni ukilazaIt is a small World after all. Kama Dunia ilivyopambana na magonjwa ya kutisha polio, kifua kikuu, Ebola (ambayo bado inasumbua) Surua n.k. ndiyo hivyo hivyo juhudi ya Dunia yote kwa kushirikiana na WHO inahitajika ili kupambana na COVID-19. Huyo anayejiita mwendawazimu hana ubavu wowote wa kushindana na Dunia.
Wewe unafikiri kupigwa ban kuingia nchi za ulaya sio mwanzo wa kutengwa.Mwanzo baada ya serikali kuacha kutoa takwimu tuliambiwa tutatengwa hadi na majirani ila naona lilipita hilo,sasa hivi limekuja la chanjo hebu tuone nalo litaishiaje.
mkuu wewe uko kama wafuasi wa Kibwetele walioamriwa kuvua barakoa huko Moshi au uko tofauti ?Utakayeumia ni wewe usiyeelewa " chochote"
Kwa mzungu kila goti litapigwa.Namuona mtu akiinua mikono juu kutii amri..! Mwisho wa ubaya ni aibu
Mtu kama wewe ungekuwepo kizazi cha Nyerere naona ungeenda kutoa hata niniliu kwa wazungu ili uwe upande wao.Nimekagua maktaba ya Taifa kuona kama kuna Rais yeyote wa Afrika aliyewahi kupambana na the so called mabeberu akashinda. Aibu inamnyemelea Jiwe.
Ili upate chanjo ni lazima uwe na takwimu, idadi ya chupa za chanjo hazisafirishwi kama mananasi ya Chalinze mnaishia kuyatupa nusu na kula nusu!Kuhusu Chanjo, ni kweli Tanzania sio kisiwa hivyo kwa niaba ya wananchi, serikali Ina wajibu wa kukubaliana na suala la Chanjo kwa raia wake.
Lakini suala la kutangaza taarifa sidhani Kama linaathiri mapambano dhida ya janga Hilo.
Hee kumbe mikwara yote ni kwa sababu serikali haina pesa? Sasa huo utajiri wa tanzania anaopigia kelele kila siku upo kwenye nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwisho wa siku hii chanjo tutapewa bure huku wengine wakiinunua kwa gharama mara mbili!
Saa nyingine mikwara ya JPM inasaidia sana.
Ninachofurahi ni kwamba dunia sasa imeanza kuamka na kugundua janja janja ya wazunguSijaelewa kwanini waafrika wengi wanaigomea hii chanjo. Kuanzia wa huko mbele mpaka sisi huku Afrika.
Mbona tuna chanjo nyingi ambazo wametuletea mabeberu kuanzia zile za uchanga mpaka chanjo ya homa ya ini hakuna hata moja tunazotengeneza wenyewe.
Bwashee kwa sasa kuvaa au kutovaa barakoa ni hiyari ya mtu hakuna kulazimishana.mkuu wewe uko kama wafuasi wa Kibwetele walioamriwa kuvua barakoa huko Moshi au uko tofauti ?
Kama ni hivo mbona hizi chanjo zingine hatuzikatai? Kama ni kuamka.Ninachofurahi ni kwamba dunia sasa imeanza kuamka na kugundua janja janja ya wazungu
kama ni hiyari kwanini Muhimbili wanazuia ?Bwashee kwa sasa kuvaa au kutovaa barakoa ni hiyari ya mtu hakuna kulazimishana.
Pale muhimbili hauingii bila kuvaa barakoa, unaelewa maana yake?
Nilimsikia,lakini dhamiri yake ilikuwa juu ya kupata chanjo ambazo hazijathibitishwa au kufanyiwa upembuzi yakinifu na wizara yetu.Kuhusu watu walioenda nje wakachanjwa huko na kutuletea korona za ajabu ajabu ulimsikia akisema?au masikio yako yanachagua cha kusikia?
Siku moja baada ya Rais wa Tanzania, John Magufuli kutaka wizara ya afya kutokukimbilia chanjo ya Corona, Shirika la Afya Duniani WHO imeitaka nchi hiyo kujiandaa na chanjo ya Corona kama mataifa mengine duniani.
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kwa njia ya mtandao, mkuu wa WHO kanda ya Afrika Dkt. Matshdiso Moeti amesema kuwa Tanzania inatakiwa kutumia mwanya wa upatikanaji wa chanjo kwa faida ya wananchi na kanda ya Afrika Mashariki kwa ujumla.
''Tumeanza kuwasiliana upya na ngazi za juu za uongozi, na tunatoa mchango wetu kama ilivyokua hapo mwanzo, na tunataka kushirikiana na Tanzania, kwa niaba ya watu wa Tanzania, nchi jirani na dunia kwa ujumla. Sehemu ya mawasiliano yetu na Tanzania ni kukumbusha serikali kuwa, hii ni sehemu ya makubaliano ya kanuni za afya za kimataifa ambapo nchi wanachama wamekubali kwa pamoja kuzuia kusambaa kwa magonjwa'' anasema Dkt. Moeti.
WHO inasema kuwa imekua ikitoa mchango na kuwasiliana na serikali ya Tanzania kuanzia mwanzo wa janga hili la Corona.
Shirika hilo pia limesisita Tanzania kutoa takwimu za mwenendo wa Corona nchini Tanzania ili iwe rahisi katika kupambana na kuzuia maambukizi mapya.
Naye katibu mkuu wa Shirika la Afya Duniani, Tedros Ghebreyesus anasema anaunga mkono alichosema @MoetiTshidi, anatoa rai hatua dhabiti za kiafya kukabiliana dhidi ya corona zinapaswa kufuatwa na kujiandaa kupokea chanjo.
Takwimu ni suala la muhimu pia kwa Tanzania kuzitoa, tena baada ya kesi za miongoni mwa wasafiri na wageni katika miezi ya hivi karibuni.
Chanzo: BBC SWAHILI