#COVID19 Shirika la Afya Duniani (WHO) laitaka Tanzania kujiandaa kupokea chanjo ya Corona


Kama Magu hataki chanjo sie tunataka ,WHO komaeni iletwe TZ maana maisha ya WaTZ sio mali ya MAGU.
 
Mkuu inabidi uwarudishie hela zao. Lobbying yako inagonga mwamba!
 
Ukishakuwa mwanachama wa WHO unaanzaje kukataa chanjo za aina hii wakati gonjwa lipo na wewe huna chanjo wala tiba .. vinginevyo tutambulike tu kuwa hatuna uanachama wa WHO.
 
Siasa against science....
 
Naona afadhali tupewe chanjo za nchi za mashariki kama urusi, chanjo za nchi za magharibi siyo. Sijawahi kuwa amini sana wazungu wa magharibi.
Hivi chanjo ya ndugu na sulua ulichanjwa ya Urusi.
 
Kama Magu hataki chanjo sie tunataka ,WHO komaeni iletwe TZ maana maisha ya WaTZ sio mali ya MAGU.
Taarifa nilizonazo baada ya kukagua website ya WHO kwa haraka haraka sikuona mahali zilipo maabara za WHO za kuzalisha na kufanyia majaribio ya chanjo hizo wanazofekea watu!!! Kwa hiyo, nadhani WHO haina facilities hizo, ingawa wanasema wana " Science division" na inajishughulisha na utafiti!! ! Kama WHO haina hivyo vitu, basi inawezekana kabisa inawategemea wafanyabiashara wa chanjo hizo kwenye tafiti; wafanyabiashara hawa kuna uwezekano mkubwa pia wanaathiriwa sana na maamuzi ya nchi wanako endesha shughuli zao! HII inatoa mwanya wa uwezekano mkubwa WHO kutumiwa vibaya na nchi zenye hila!
 
Hujasikia mkuu who amesema anafanya mazunguzmzo na tz?

Au ulitaka na sisi tununue kwa bilion 6 badala ya 2 kama ilivyotkea kwa Afrika kusini?
Hayo ya bei unayajua wewe kinachotakiwa watu wapate chanjo.
 
KWA NINI WANATULAZIMISHA JUU YA CHANJO HII HATUTAKI HATUTAKI POSSIBLY IPO AJENDA YAO YA SIRI YAELEKEA WAMEPATA KIINI KINACHOWEZA KUPAMBANA NA MELANIN AMBAYO IMEKUWA MSAADA WETU MKUBWA
 
Unachekesha unasema yaani leo baada ya kukagua website hukuona maabara ya Who dah!
 
Wewe una maabara kuwazidi WHO?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe hata airport utakua hujawahi kufika [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwambie Meko atoe ushahidi wa kisayansi wa kutokuwa na imani sio maneno matupu,halafu atengenenze dawa ipelekwe WHO kuthibitishwa ili achanje Watanzania wasiendelee kufa.
Huwenda hatuna ushahidi wa kisayansi lakini tuna ushahidi wa kimazingira wa waafrika kuhujumiwa katika mambo mengi tu ikiwemo katika afya huwenda huu ni mpango wa kibiashara na kama dunia iko fair itumike chanjo moja kwa dunia nzima ili kukabili hii changamoto lakini
Hivi chanjo aliyopewa Biden ndiyo nitachanjwa mimi au ni usanii?
 
Amemka ww, majuha wameisha ww bado unalazimisha wawepo.
Tindo nimekuibua eeh! Heri ya mwaka huu 2021 dogo! Afu bado unakurupuka tu dogo! Hivi hapo umeandika nini vile!?
 
Magufuli sio WHO,yeye kasema kwa maoni yake binafsi,na sifikiri kama ni msimamo wa serikali.
Sema swala hilo liachiwe wataalamu wa afya,Magu sio daktari wa watu,wanyama au mimea.
Si Magu huyohuyo alisitisha upimaji wa Korona Tanzania na Kuutangazia ulimwengu kwamba hakuna Corona,sio yeye aliagiza wapime Oilchafu,mapapai na mafesnesi, na kusema yana Corona?

Kifupi Magu hajawahi kuheshimu taaluma yoyote yeye anajiona ndio kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…