#COVID19 Shirika la Afya Duniani (WHO) laitaka Tanzania kujiandaa kupokea chanjo ya Corona

#COVID19 Shirika la Afya Duniani (WHO) laitaka Tanzania kujiandaa kupokea chanjo ya Corona

Kabla ya kujiuliza kwanini tunazigomea, jiulize kwanini wanatulazimsha?…mbona hizo zingine hawalazimishi kama hii?

EA inakabiliana na vifo vingi vya Malaria kuliko vya Corona, kwanini walazimishe their stress iwe ndio stress yetu

Inawezekana kwao kitisho kikuu kikawa Corona, kwetu ikawa Kifua kikuu

Wasitupangie vipaumbele vyao ndio viwe vyetu
Sijaelewa kwanini waafrika wengi wanaigomea hii chanjo. Kuanzia wa huko mbele mpaka sisi huku Afrika.
Mbona tuna chanjo nyingi ambazo wametuletea mabeberu kuanzia zile za uchanga mpaka chanjo ya homa ya ini hakuna hata moja tunazotengeneza wenyewe.
 
Si Magu huyohuyo alisitisha upimaji wa Korona Tanzania na Kuutangazia ulimwengu kwamba hakuna Corona,sio yeye aliagiza wapime Oilchafu,mapapai na mafesnesi, na kusema yana Corona?

Kifupi Magu hajawahi kuheshimu taaluma yoyote yeye anajiona ndio kila kitu
Ww hujitambui ndio tatizo! Magu anazo taarifa ambazo ww hutakuja kuzijua na anafanya maamuzi kwa kuzingatia tija ya watz sio tumbo!
 
Huna imani na hiyo chanjo kwa vigezi vipi? kwa study zipi? WHO lazima watamuuliza waziri wa afya ni kwanini wana kataa chanjo na lazima atoe majibu ya kisayansi sio hapa tuu bila sababu.

Lazima WHO wapewe sababu za msingi kinyume na hapo ni lazima tanzania ipokee chanjo hiyo, au kama Tanzania imetengeneza chanjo yake itatakiwa kuweka wazi kabisa ili chanjo hiyo itazamwe na kupimwa. Chanjo ni lazima tuipokee.
Africa inahujumiwa kwa mengi tunayadress pale lakini Tanzania ni nchi huru ina uhuru ya kuchukua chanjo kutoka nchi yoyote itayoridhia
Lakini huwenda,kuna tamaa ya fedha watu wanataka faida kwenye afya za watu kama wanajali afya zaidi ya pesa wangekuwa na mpango wa dunia nzima kukabili hii changamoto
 
Nina maswali kadhaa juu ya hili janga:
1. Dalili zote zinaonyesha kuwa hili ni janga lililo sababishwa na mwandamu laboratory. Je kwa nini Hawa watu hawawajibishwi for crimes against humanity?
2. Africa na Tanzania kwa ujumla tuna matatizo kibao likiwemo gonjwa la malaria, mbona WHO jawajitahidi kutafuta chanjo ya Malaria for years Ila kwa vile corona imewapiga wanataka kila mtu awe vaccinated?
Ni wakati w Africa kutoka usingizini. Tulitakiwa tuwe na maabara zetu na kujiridhisha na chanjo Kama hizi na kutengeneza chanjo zet. Mwafrika duniani hapa amekuwa Kama mbuzi anaepelekeshwa tu bila kuhoji chochote. Time for Africa to Wake up
 
Si Magu huyohuyo alisitisha upimaji wa Korona Tanzania na Kuutangazia ulimwengu kwamba hakuna Corona,sio yeye aliagiza wapime Oilchafu,mapapai na mafesnesi, na kusema yana Corona?

Kifupi Magu hajawahi kuheshimu taaluma yoyote yeye anajiona ndio kila kitu
Ww hujitambui ndio tatizo! Magu anazo taarifa ambazo ww hutakuja kuzijua na anafanya maamuzi kwa kuzingatia tija ya watz
Kuna kitu kinaitwa International Health Regulations (IHR) 2005 inatubana kwenye hili, busara inatakiwa kutumika hapa kuepuka mgongano.
Wapotelee mbalu na international health isiyojali vifo vyabmalaria na hiv na kuangalua covid-19 isiyo na madhara kiasi hicho kwetu! Wanatupima, nafikiri hawajatutambua bado watz na Magu wetu!
 
Nina maswali kadhaa juu ya hili janga:
1. Dalili zote zinaonyesha kuwa hili ni janga lililo sababishwa na mwandamu laboratory. Je kwa nini Hawa watu hawawajibishwi for crimes against humanity?
2. Africa na Tanzania kwa ujumla tuna matatizo kibao likiwemo gonjwa la malaria, mbona WHO jawajitahidi kutafuta chanjo ya Malaria for years Ila kwa vile corona imewapiga wanataka kila mtu awe vaccinated?
Ni wakati w Africa kutoka usingizini. Tulitakiwa tuwe na maabara zetu na kujiridhisha na chanjo Kama hizi na kutengeneza chanjo zet. Mwafrika duniani hapa amekuwa Kama mbuzi anaepelekeshwa tu bila kuhoji chochote. Time for Africa to Wake up
Chanjo ya malaria ipo na hiv pia lakini imewekwa chini ya carpet ili tuendelee kushiba alu, acyclovil nk kuwatajidisha watengeneza madawa!
 
Watumie kwanza corona yao iishe ndio watuletee
 
,
Screenshot_20210128-175959.jpg
 
Kabla ya kujiuliza kwanini tunazigomea, jiulize kwanini wanatulazimsha?…mbona hizo zingine hawalazimishi kama hii?

EA inakabiliana na vifo vingi vya Malaria kuliko vya Corona, kwanini walazimishe their stress iwe ndio stress yetu

Inawezekana kwao kitisho kikuu kikawa Corona, kwetu ikawa Kifua kikuu

Wasitupangie vipaumbele vyao ndio viwe vyetu
Kwasababu Tz sio kisiwa kwamba mmejifungia. Wanataka mkienda kwao msiwe tishio kwao
 
Ww hujitambui ndio tatizo! Magu anazo taarifa ambazo ww hutakuja kuzijua na anafanya maamuzi kwa kuzingatia tija ya watz sio tumbo!
Najitambua mno ndio maana simwamini Magu,maana ni msanii tu
 
Hujasikia mkuu who amesema anafanya mazunguzmzo na tz?

Au ulitaka na sisi tununue kwa bilion 6 badala ya 2 kama ilivyotkea kwa Afrika kusini?
Kwahiyo mna mpango wa kununua chanjo kwa bilioni 2 badala ya 6?
 
Back
Top Bottom