milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Michezo yote ni miradi ya wakubwa na umaskini kwa watazamaji na washabiki.Hivi malipo ya matumizi ya uwanja na mapato hulipwa tff au kwa control number za serikali ya hela huenda wapi? Mfano yanga au simba wakiuza soldout zao.
nikiandika kuhusu mauchafu yanayoendelea kuhusu viwanja vya bongo vinavyomilikiwa na ccm ntakufuru, i choose peace
Umenijibu au unaniuliza tena? Mimi sifahamu chchte nipe majibu kama unajua.KWANI Wanaotangaza maingizo baada ya mechi ambayo kuna makato sijui usimamizi wa uwanja %
BMT%
TFF%
ni kina nan
Hivo serikali hela uingie kwake kwa mfumo wa mapato yake?Michezo yote ni miradi ya wakubwa na umaskini kwa watazamaji na washabiki.
Control number itoke wapi mkuu😳
Hapo zaidi ya Bilioni 30 zilishamwagwa Tangu 2023! Mambo ya ajabu sana
Hahahahahaha akili za mashabiki wa Simba huwa wanazijua wenyewe.Mara ya mwisho kutumika ni tarehe 8, siku Yanga wameenda kurukaruka bila refa wala kamisaa.
Huenda wameuharibu
MKUU, kazi wanafanya maana Serikali haitoi chakula wala bundle la kushinda mitandaoni au vijiweni wakishashiba. Hii nchi watu wana stress, futa burudani ya soka uone.Simba na yanga limeanza kuwa tatizo, watu hawafanyi kazi Sasa ni Simba na yanga.
😂😂Mara ya mwisho kutumika ni tarehe 8, siku Yanga wameenda kurukaruka bila refa wala kamisaa.
Huenda wameuharibu
Sas hapo chadema imeingiaje kama sio una shida afya ya akiliWe ndio unawalisha? Ebu acheni kulaumu watu kwa kufeli kwenu nyie CHADEMA. Jitafakarini wenyewe ndani ya chama na sio kulaumu watu.
Pia nakushauri kitu mkuu, usijipe umuhimu usionao kwa maisha ya watu. Wacha watu wafanye kile wapendacho.
Amerudi kuwa kijanaHivi waziri wa michezo na utamaduni ni nani vile
Inasemekana Shirikisho la Soka Afrika CAF limeufungia uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kutokana na ubovu wa eneo la kuchezea (pitch). Ripoti inaonyesha pitch mbovu na inazidi kuzorota. Wameitaka TFF kuchagua kiwanja kingine kwajili ya Robo fainali ya Shirikisho ya Simba hapo tarehe 9 April
Huu uwanja toka msimu unaanza hautumiki kwa mechi za ndani walidai kua wanaufanyia marekebisho, hii ncho yetu Siasa nyingi sana,
na ndo furaha ya ccmSimba na yanga limeanza kuwa tatizo, watu hawafanyi kazi Sasa ni Simba na yanga.