milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Michezo yote ni miradi ya wakubwa na umaskini kwa watazamaji na washabiki.Hivi malipo ya matumizi ya uwanja na mapato hulipwa tff au kwa control number za serikali ya hela huenda wapi? Mfano yanga au simba wakiuza soldout zao.
Control number itoke wapi mkuuš³