Rudi kwenye familia zetu waafrica je baba yako alikuwa marioo au alikuwa provider basi jifunze kupitia yeye ikiwezekana.. tatizo vijana sasahivi ni wavivu wa kutafuta tutafute hela tuache malalamikoJe kama haupo kwenye hiyo mifumo ya hizo dini?
Kumbe๐Rudi kwenye familia zetu waafrica je baba yako alikuwa marioo au alikuwa provider basi jifunze kupitia yeye ikiwezekana.. tatizo vijana sasahivi ni wavivu wa kutafuta tutafute hela tuache malalamiko
Waoooh mdogo wangu kumbe upo matured hivi na hausemi๐คฉ๐คฉ?Sidhani kama inasaidia hata kama anatusanua maana hata kuhonga ni mojawapo ya matumizi. Mtu huwezi kumpangia matumizi ya hela zake.
Tutapanga hata mabomu ya ardhini kama mizinga ikishindikanaKuna madada ni majangili ๐๐ค, acha tutegue visanga
Mwiba,una siti yako special paradiso!Rudi kwenye familia zetu waafrica je baba yako alikuwa marioo au alikuwa provider basi jifunze kupitia yeye ikiwezekana.. tatizo vijana sasahivi ni wavivu wa kutafuta tutafute hela tuache malalamiko
Shikamoo? ๐Waoooh mdogo wangu kumbe upo matured hivi na hausemi๐คฉ๐คฉ?
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Marahaba kama ni kweli!Shikamoo? ๐
Mjazeni tu, aki Lia hakuna leso ya kumpa ๐๐Mwiba,una siti yako special paradiso!
Mhhhh๐๐ค, wewe mzee si uko 70, hiyo shikamoo vepee??Shikamoo? ๐
Hii imeenda!Tupo pamoja Mkuu.
"KATAA OMBA OMBA TUNZA KIBUNDA CHAKO".
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Wadogo zako tuko kuomba nauli ya kwenda job unaa kaza,Omba chochote kama nina kimudu nitakupa ๐
Tulia Kijana usiwaze mpaka ukawazuaWadogo zako tuko kuomba nauli ya kwenda job unaa kaza,
Halafu mabinti una wapa grant ya any wish they have ๐ค๐๐
Subiri basi mbona unakuwa hivyoooWee sema kweli๐๐ค๐ค
Wewe hakuna Cha nini, dawa ni kuharibu any of your so called mitegos๐๐Tulia Kijana usiwaze mpaka ukawazua