Shituka kijana, wewe sio benki kwenye mahusiano yako

πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘πŸ€πŸ™πŸ“πŸ—ΌπŸŽπŸ’πŸ†’
 
TUKO PAMOJA MKUU,

KATAA OMBA OMBA , VIJANA HAWANYANYUKI KIUCHUMI KISA WANADATE NA OMBAOMBA.

Wanaume tujitambue
 
Vijana wa kiume wanapaswa kuwa single kuanzia miaka 18 hadi 29.

Hicho ndio kipindi cha kujenga thamani.

Focus katika mambo ya msingi.

Wanawake hawatafutwi,wanavutiwa.
Suuza rungu ukipata nafasi,

sometime tuna-reflesh,ingawaje sio lazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…