Leonardo Harold
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 1,088
- 2,122
Nicheki pm tuongee, tusije jaza nzi wengi kwenye mzoga masai dadaSijapata its soo illegal in a kind of way
Yaani kama kuuza unga
Naam, nafurahia kuona wajumbe mki elimika.ASANTE CHIEF, HII 50 BORA NIMTUMIE MAMA ATUMIE ATAKACHO, HUYU DEMU KAMA ana wa kumpa hela akampe na mbunye ampelekee, tumegeuzwa chuma ulete, tunapambania furaha za mademu kuliko hata furaha zetu, as long as sio mlemavu atafute hela kama mwanaume anavyotafuta, dunia ya sasa ni 50/50, kwahyo hakuna sababu yoyote ya mwanamke kutotafuta hela yake, wapenz kusaidiana ni kawaida lakini liwe hitaji stahiki na sio kuombana ombana kila siku, leo vocha kesho ped kesho kutwa anaumwa mara kodi
Kuna kipindi nilikuwa na mahusiano na Single mother sasa akaniomba pesa ya kumlipia ada mtoto wake, Mimi moyo ulikuwa unasema nisimpe siyo jukumu langu no jukumu lake na huyo Baba mtoto wake, Sasa tokea nimnyime pesa akawa hataki mawasiliano na mimi aka ni block, Sasa nina rafiki yangu wa kizungu ni Mtu mzima ni Mmama nikajaribu kumuadisia changing cha ugomvi wetu ili nisikia jibu la huyu Mama wakizungu.Wanawake ni wanyonyaji.... Mpe hela mke wako tu au mzazi mwenzio. Wengine chapa ilale.
Complimenting and dissing me at the same time😆🤣🤣.Hii inakuhusu wewe,baada ya mwajuma kukugeuka ukaona upunguze uchungu kwa kutoa maneno humu.
Hongera sana kwa thread nzuri kukumbusha kufanya vitu kwa kiasi,safi sana baba Mwajuma,ilikuwa march 8,yes kumbukumbu zangu ilikuwa tayari umenyimwa kugusanisha kikojoleo kwa yule binti na maneno machafu juu.🤣
Safi Sana, achana na hisia za kibwege zenye shida ndani yake.ASANTE CHIEF, HII 50 BORA NIMTUMIE MAMA ATUMIE ATAKACHO, HUYU DEMU KAMA ana wa kumpa hela akampe na mbunye ampelekee, tumegeuzwa chuma ulete, tunapambania furaha za mademu kuliko hata furaha zetu, as long as sio mlemavu atafute hela kama mwanaume anavyotafuta, dunia ya sasa ni 50/50, kwahyo hakuna sababu yoyote ya mwanamke kutotafuta hela yake, wapenz kusaidiana ni kawaida lakini liwe hitaji stahiki na sio kuombana ombana kila siku, leo vocha kesho ped kesho kutwa anaumwa mara kodi
Hey bro what's up,Hii inakuhusu wewe,baada ya mwajuma kukugeuka ukaona upunguze uchungu kwa kutoa maneno humu.
Hongera sana kwa thread nzuri kukumbusha kufanya vitu kwa kiasi,safi sana baba Mwajuma,ilikuwa march 8,yes kumbukumbu zangu ilikuwa tayari umenyimwa kugusanisha kikojoleo kwa yule binti na maneno machafu juu.🤣
Wewe uta kuja kupigwa na kitu kizito😁🤣Mtalaka wa JF
Kipi hiko?Wewe uta kuja kupigwa na kitu kizito😁🤣
Una niitaje mi mtalaka, ujue karma is a .. 😁Kipi hiko?
'Karma" unataka kusema nini sasa na wewe..Una niitaje mi mtalaka, ujue karma is a .. 😁
IPO siku nawe uta itwa mtalaka wa jf 🤣😂'Karma" unataka kusema nini sasa na wewe..
Kwa nani kijana? 🤣IPO siku nawe uta itwa mtalaka wa jf 🤣😂
Karma will decide 🤣😂Kwa nani kijana? 🤣
Nina roho ngumu ,shemeji yako hana hayo mambo kabisa .Karma will decide 🤣😂
Wifi yangu??, this is a biggest insult kwangu😁.Nina roho ngumu ,shemeji yako hana hayo mambo kabisa .