SHIWACHANDO - Umoja wa wanaume mnaoteswa na wake zenu

Hivi katika hali ya kawaida mwanamke anakutesa vipi kwenye familia yako.? Moja ya kitu ambacho huwa najiuliza sana kinatokeaje.

Aaah sioni namna kwakweli.
Inabidi mwanamkewako akuheshimu na kukutii ndo utaepuka hayo
Mbona kuwatesa ni kawaida ikiwa huna mtu anaekutii unamenywa tu vizuri πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…