SHIWACHANDO - Umoja wa wanaume mnaoteswa na wake zenu

Usisahau, kila mwenzako ana mwenzake, na huyo mwenzako, mwenzake ni wewe, naye atafurahia ukimuwakilisha vyema..!!
Siwezi maana huyu wangu ni mwamba, nikijaribu hata kumfinya nitachinjwa mchana kweupe. Nani anataka kufa?
 
Kwanza mi mwenzio siwezi kabisa kumkabili mwanaume eti nipigane?hapana hamna kiumbe namuogopa Kam mwanaume akibadilika anaweza kuwa mnyama akuchane uso bure
Niliwahi kuekti nimezimia tena hapo nilitikiswa kidogo nikajiangusha cha kuchapika nini miyee niharibiwe reception 🀣🀣🀣
 
Kwanza mi mwenzio siwezi kabisa kumkabili mwanaume eti nipigane?hapana hamna kiumbe namuogopa Kam mwanaume akibadilika anaweza kuwa mnyama akuchane uso bure
Na ukishakandwa na minundu ya uso, na huku damu imevilia, ufizi umevimba huwezi kula wala kuongea, unajaribu kupitia kisa kizima akilini unaona kisa chenyewe hakina thamani ya mdundo uliokula..!! Unabaki kujilaumu
 
Na ukishakandwa na midundu ya uso, na huku damu imevilia, ufizi umevimba huwezi kula wala kuongea, unajaribu kupitia kisa kizima akilini unaona kisa chenyewe hakina thamani ya mdundo uliokula..!! Unabaki kujilaumu
🀣🀣🀣🀣Sijawahi kudundwa,na sitokuja kudundwa....Niko makini sana kwenye hicho kipengele
Yaani nikifikiria meno yangu ya baraza yatolewe?mara jicho limevilia damu hapana Kwa kweli Niko radhi niwe mjinga mbele yake huku anakula matusi rohoni
 
🀣🀣🀣🀣Maana kasema wadundwe Hadi mishono ya mama Yao ifumuke,hakika nikahisi nyuzi zinacheza japo boy wangu bado mdogo
🀣🀣🀣🀣
 
Niliwahi kuekti nimezimia tena hapo nilitikiswa kidogo nikajiangusha cha kuchapika nini miyee niharibiwe reception 🀣🀣🀣
🀣🀣🀣🀣🀣 Smart girl!mwili ni wa Mapenzi,sio wa kupigwa...fanya lolote ila hakikisha hujapigwa
 
🀣🀣🀣🀣🀣 Smart girl!mwili ni wa Mapenzi,sio wa kupigwa...fanya lolote ila hakikisha hujapigwa
Me nipigwe na fimbo iliyofungiwa na zipu tu!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Matusi ya rohoni tena..!! Unatukana ukoo mzima..!!
 
Uzae na mtu umeme mdogo kichwani utegemee mwanao awe na megawatt za kutosha?? Lazima akandwe 🀣🀣🀣
🀣🀣🀣🀣Hilo suala la upungufu wa umeme linanichekesha sana....itabidi bwawa la Rufiji liharakishwe ufunguzi Ili kurescue hii Hali ya upungufu wa umeme
 
Hata mara moja moja na wewe jibu...
Sio kukubali tu kuwa mjinga alaaaah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
🀣🀣🀣🀣Hilo suala la upungufu wa umeme linanichekesha sana....itabidi bwawa la Rufiji liharakishwe ufunguzi Ili kurescue hii Hali ya upungufu wa umeme
Sema shida ni nini ujuwe Joannah, kipimio cha kiwango cha umeme hakijulikani. Wengine wanaamini uwezo wa kunyandua ndo husema kiwango cha Megawati kichwani au uwezo wa kifedha ndo husema kiwango cha Megawati za kichwani..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…