Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Siwezi maana huyu wangu ni mwamba, nikijaribu hata kumfinya nitachinjwa mchana kweupe. Nani anataka kufa?Usisahau, kila mwenzako ana mwenzake, na huyo mwenzako, mwenzake ni wewe, naye atafurahia ukimuwakilisha vyema..!!