Shobo zangu zimenitia aibu, kuna wadada wana maringo sana

Huo mkasa ukoje aisee
Sikumbuki vzr ila alikwenda kwenye Kongamano la dunia ambalo Mgeni rasmi alikuwa ni Bill Gate. Wakiwa bado wako nje ya Ukumbi Bill Gate alipita akiwa kavaa Jeans na shati (casual) akamsalimia ila Madam Ritta alimtazama tu kwa dharau na hakupokea salamu ya bilionea huyo.
Nadhani Madam Ritta mwenyewe ali-tweet huku akijutia kutopokea salamu ya Bilionea huyo eti akijitetea ya kuwa hakumtambua sababu alivaa casual. Kwa walio na tweet hiyo wanaweza kutuwekea hapa.
 
Basi madam Hana akili naye Kwa kudharau mtu

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Binti kafanya vizuri sana.... haiwezekani hata hujasalimia unarukia kuuliza kama nitashiba?
 
Sema maisha ya naenda kasi sana
unaweza kukuta hata akili yake haipo hapo
 
ULITAKA MAZOEA NA WATU WASIOPENDA MAZOEA. YEYE KUSHIBA AU KUTOSHIBA KWAKE KUNAKUHUSU NINI? UMEJIFUNZA IN A HARD WAY
 
Punguza shobo na kutaka kumfahamu kila mtu, ingekuwa mi ulivyokuja kunishika ningekusindikiza na kerbu mxiewwww!!! Huna adabu
Watu wako na mambo zao kichwani ww na genye zako unaleta mazoea ya kijinga
 
Punguza shobo na kutaka kumfahamu kila mtu, ingekuwa mi ulivyokuja kunishika ningekusindikiza na kerbu mxiewwww!!! Huna adabu
Watu wako na mambo zao kichwani ww na genye zako unaleta mazoea ya kijinga
Dada yameisha, mbona unakua mkali hivi?
 
Umenikumbasha mbali Sana...wakati tunasoma nikiwa kidato Cha nne,nakumbuka Kuna Binti alikuwa msomali..yule manzi alikuwa ni pisi haswa..sasa sikujua ilikuwaje siku Ile ...tulikuwa tumetoka likizo Sasa Ile wanafunzi tumekutana shule zishafunguliwa...bhasi Ile tumeonana tu alikuja spidi kunikumbatia Hadi nilipatwa na mshangao Yani mapigo ya moyo yalienda kasi Sana .[emoji3]nilikosa nguvu ya kumkumbatia kwakweli na ilikuwa suprise ya hatri mbele za washkaji kibao
 
Mind your business.

Kama hatashiba wewe tatizo lako nini?
 
Mademu wapumbavu sana. Nilipotea njia siku moja nikakutana na demu, nikawa nakazana kumsimamisha ili anielekeze njia, nikawa namwita kweli lakini kanilia buyu tu. Kumbe kwa akili zake ndogo alijua nataka kumtongoza, majinga kweli haya.
 
Ulikosea line, ilibidi umuanzie na I love you na nina iPhone 15 ya kukupa bure. Mademu wa Kikongo ni wachovu mno, wanaishi maisha ya maigizo sana.
 
Mademu wapumbavu sana. Nilipotea njia siku moja nikakutana na demu, nikawa nakazana kumsimamisha ili anielekeze njia, nikawa namwita kweli lakini kanilia buyu tu. Kumbe kwa akili zake ndogo alijua nataka kumtongoza, majinga kweli haya.
Na hapo ungemtongoza tu angekuambia ana miezi kadhaa hajala na pia anadaiwa pango la nyumba yake ya miaka 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…