Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Hakuna kitu cha bure duniani. Kuna mtu lazima alipie, unataka nani alipe?Mzee wako atakapotaka hiyo huduma ndio utaelewa ndugu yako anatakaje?
Sio wote wanakufa, wengi tu wanapona.Wakafie huko?
Matibabu ya bei nafuu kadai huko unakolipa kodi aka serikalini, sio watu ambako wametoa jasho na mitaji yao kuwekeza.Na hizo hospitali nazo zikipandisha bei na kuwa za kitalii wananchi watatibiwa wapi?
Wewe it seems una kipato, you don't care about others
If serikali haitoi subsidies tegemea mambo kama haya so tuwe wapole.Katika hali inayoonekana ni muendelezo wa maisha magumu kwa wananchi...
Na bado mwaka huu teh tehHivi Mkurugenzi wa hiyo hospitali ni nani?
Hawa watakua ni wafanyabiashara tena wasiojua maana ya kuwa taasisi inayotoa huduma ya afya. Sijawahi kuona hospitali kukataa wagonjwa kwa sababu yoyote ile.
Halafu shida ya mfumo wa upumuaji sio lazima iwe corona, inaweza kuwa hata blood pressure au tatizo lingine
Mafua, kikohozi na korona.Magonjwa ya Mifumo ya Hewa ndio yapi?
Hao regulators waambie waangalie na gharama ya 100usd inayo tozwa na serikali ili kupima korona.Niko kwenye hilo hiti na mamyako.... na sijui mlikua mnaongea nini hadi akakuhadithia mambo ya wanawake? Mfyuuu
Kuna tofauti kati ya biashara ya kuuza beer na kutoa huduma ya afya. Kama hujui sheria na miongozo ya watoa huduma za afya usikurupuke, tulia weweeee
Wacha regulators waongee
Wakati watoa huduma wanasign kukubaliana na masharti hawakuyajua hayo? Kama hawakuyajua hawajui wanachokifanyaHao regulators waambie waangalie na gharama ya 100usd inayo tozwa na serikali ili kupima korona.
Kwa nini umemtukana?Acha upumbavu wewe hayawani.
Nenda Aga Khan ndio utaelewa.
Fungua hospitali yako.
SAWA WENYE UWEZO WA KU AFFORD NDIYO WATAENDA HUKO,WENZANGU NA MIE SISI TUTAENDA KWENYE HOSPITALI ZETU ZILEWakati watoa huduma wanasign kukubaliana na masharti hawakuyajua hayo? Kama hawakuyajua hawajui wanachokifanya
Mafua, kikohozi na korona.
Na sio kama serikali haijui hizi gharama wanazijua halafu mishahara ipo pale pale,Mkuu ata hosptal za serikali nadhani ata muhimbuli, bugando na nyingine ukiwa I.C.U na ukihitaji ventilator kwa siku ni laki 5 apo ni intensive care achilia mbali dawa na baadhi ya malipo menginena ni toka muda sio kwa kipindi hichi, kama nitakua nimekosea nirekebishwe na private nyingne kwa siku zinaenda hadi 1M
Wee nawe unashindwa nini kuelewa hapo? Hiyo ni fomu ya mkataba ambayo mlipaji au mdhamini wa mgonjwa anatakiwa kuijaza kabla ya huduma ya matibabu haijaanza na itasainiwa na huyo mdhamini au mlipaji wa gharama za matibabu na pia shahidi wa hospitali.Hapo saini umeiona wapi kwenye tangazo?