Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani

Mimi namuombea Diddy ashinde tu. Ndio alikosea lakini sakata lote ni racial motivated. Mamchukia sana 50 cent yani kashadidia kweli. Inatakiwa am -support nigger mwenzake ama akae kimya.
50 cent na diddy wana bifu toka zamani sana, walishaga fikia hatua hadi ya kunyoosheana bunduki ndo maana sishangai sana. Ila cent kaonesha utoto sana.

Na sio mara ya kwanza diddy kuzinguana na hawa jamaa, mfano ngoma ya "I'm coming home" diddy aliitoa baada ya vuguvugu na hawa jamaa na akakubali kuwa mpole, this time jamaa inaonekana kagoma kukunja goti
 
Mnapata wapi nguvu za kumtetea Didy?
 
Unatetea ujinga
 
Marekani watu weusi wamepaharibu vibaya SEMA wazungu wanatulia tu Ila Kuna muda wazungu watachoka Itakua serious business.

Kuna beach moja USA yangu 2007 black walikua wakiingia ilikua ni vurugu tu wanaleta wazungu wanasema isiwe tabu tunawachia na kweli wamewachia iyo beach zaiv ni niga tu wapo wanaleteana vurugu wao kwa wao
 
Simtetei diddy, mm naongea facts.

Hao wanaoyaweka wazi maovu ya diddy wameficha maovu mangapi? Na wao ni waovu kiasi gn?

Hebu kuwa na reasoning kdg, usiruhusu watumie hisia zako
Kama unao ushahidi wa hao wengine peleka mahakamani uovu ni uvovu tu haijalishi kafanya nani mtu anafanya upumbavu anajificha kwenye issue ya rangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…