Short course gani ilibadili maisha yako?

Mkuu naitaji kujifunza nitaptawapi mwalimu hata kwa online
 
Hujakutana na drivers ehee? Walio piga short corse NIT na wakajipata??

Usiongee sana as if huyajui mambo ya ground.
Short course ya udereva NIT ndio ninayojua inayobadilisha maisha ya watu wengi. Zitakuwepo courses nyingine vyuo vingine ila ni ndefu, gharama kubwa na zinahitaji akili kichwani.

Kuna 'kilaza' mmoja kaka yake alikuwa anapanga kwa mama mkubwa. Kaka yake alisoma NIT akawa dereva wa mabosi wa kampuni moja ya kitu kama survey hivi. Kaka mtu kwao maisha magumu ila akili alikuwa nazo sema ada ya kusoma zaidi alikosa baba yao alifariki mapema. Mdogo mtu kichwani mweupe kaka yake akaona asizunguke wacha aingie kwenye udereva hautaki akili sana. Kaka mtu alifanikiwa kuoa, akajenga nyumba yake na kujenga kwao (nahisi kuna udanganyifu fulani kwenye kampuni alikuwa anafanya).

Nimekaa miaka kadhaa nimekuja sikia mdogo mtu yupo kwenye fleet ya wanaomuendesha Majaliwa. Ana maisha safi tatizo mapenzi yanamuendesha.

Bado kuna jirani yetu dereva alikuwa na maisha safi kabla hajakamatwa kwa wizi uko kazini kwake akaachishwa ila alikuwa ameishajenga angalau. Ni watu wengi ninaojua walifanikiwa kwa udereva wakati elimu za kawaida. Mpaka leo ninaamini Tanzania hii skill isiyotumia akili na gharama kubwa inayoweza muokoa mtu ni udereva wa ngazi za juu.

Skills nyingine nilizoshuhudia hazifundishwi direct chuoni.
 
Hujakutana na drivers ehee? Walio piga short corse NIT na wakajipata??

Usiongee sana as if huyajui mambo ya ground.
Depal.....ground ndio hivyo nawafundisha madogo njia rahisi ya kujipata....!!!
Wajifunze kozi ya jinsi ya kuchukua hela popote ilipo......hii kozi haina ada na cheti......ni utimamu wa akili tu!!!
Kuajiriwa iwe second option
 
Basic Security Course.
 
Nakubali shukrani mkuu
 
Depal.....ground ndio hivyo nawafundisha madogo njia rahisi ya kujipata....!!!
Wajifunze kozi ya jinsi ya kuchukua hela popote ilipo......hii kozi haina ada na cheti......ni utimamu wa akili tu!!!
Kuajiriwa iwe second option
Nifunze na mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…