Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 4,870
- 8,035
Kama 1 year ivi , àlafu kabla haujaanza kusoma tafuta kabisa passport, ili ukihitimu mafunzo unakuwa unacheti na passport mkononi. ,miezi mingapi maana wengine leseni zetu za mchongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama 1 year ivi , àlafu kabla haujaanza kusoma tafuta kabisa passport, ili ukihitimu mafunzo unakuwa unacheti na passport mkononi. ,miezi mingapi maana wengine leseni zetu za mchongo
Duuuh mkuu nipo DODOMANenda computing centre udsm
Data analysis.Unahitaji kujifunza kipi mdogo wangu.......!!!!
Kupata pesa au kupata elimu
Kozi ya kusoma......au kozi ya namna ya kupata hela mdogo wangu.Data analysis.
Drivers WA tours vipHujakutana na drivers ehee? Walio piga short corse NIT na wakajipata??
Usiongee sana as if huyajui mambo ya ground.
Drivers WA tours vipHujakutana na drivers ehee? Walio piga short corse NIT na wakajipata??
Usiongee sana as if huyajui mambo ya ground.
Tupe hizo skills mkuuShort course ya udereva NIT ndio ninayojua inayobadilisha maisha ya watu wengi. Zitakuwepo courses nyingine vyuo vingine ila ni ndefu, gharama kubwa na zinahitaji akili kichwani.
Kuna 'kilaza' mmoja kaka yake alikuwa anapanga kwa mama mkubwa. Kaka yake alisoma NIT akawa dereva wa mabosi wa kampuni moja ya kitu kama survey hivi. Kaka mtu kwao maisha magumu ila akili alikuwa nazo sema ada ya kusoma zaidi alikosa baba yao alifariki mapema. Mdogo mtu kichwani mweupe kaka yake akaona asizunguke wacha aingie kwenye udereva hautaki akili sana. Kaka mtu alifanikiwa kuoa, akajenga nyumba yake na kujenga kwao (nahisi kuna udanganyifu fulani kwenye kampuni alikuwa anafanya).
Nimekaa miaka kadhaa nimekuja sikia mdogo mtu yupo kwenye fleet ya wanaomuendesha Majaliwa. Ana maisha safi tatizo mapenzi yanamuendesha.
Bado kuna jirani yetu dereva alikuwa na maisha safi kabla hajakamatwa kwa wizi uko kazini kwake akaachishwa ila alikuwa ameishajenga angalau. Ni watu wengi ninaojua walifanikiwa kwa udereva wakati elimu za kawaida. Mpaka leo ninaamini Tanzania hii skill isiyotumia akili na gharama kubwa inayoweza muokoa mtu ni udereva wa ngazi za juu.
Skills nyingine nilizoshuhudia hazifundishwi direct chuoni.
Branch yao dodoma ipo fwatilieDuuuh mkuu nipo DODOMA
Naskia mshahara ua mdogo ila posho na tip ndo zinawapa maisha mkuuDrivers WA tours vip
Kama una pc na bando tafuta skillz mtandaoni eg graphix design, 3d animation utanishkuruTupe hizo skills mkuu
Driver is a driver..Drivers WA tours vip
Naitaji kujuwa data analysis mkuu napend kama upo fresh number 0657994545Kozi ya kusoma......au kozi ya namna ya kupata hela mdogo wangu.
Samani mkuu DODOMA iyo branch Ina itwajeBranch yao dodoma ipo fwatilie
Kama una pc na bando ingia Udemy, Coursera , youtube jifunze mkuuNaitaji kujuwa data analysis mkuu napend kama upo fresh number 0657994545
Hiyo driving full course ndio ikojeNenda hapo nit, chukua driving full course, utakula Maisha Kuliko wengi wenye degree
Hapana, unaweza ukawa artisan, technician au engineer na ukasoma tu bila shida. Kikubwa tu uwe na basic ya ufundi hasa wa magari katika angle yoyote ile iwe makenika au umeme.
Veta Kipawa anatoa ila nami sijui application yake ipo vipi msaada wajuziNaomba kufahamishwa kozi ya Geographical Information System (GIS) soko lake likoje?
Veta kipawa ni short courseVeta Kipawa anatoa ila nami sijui application yake ipo vipi msaada wajuzi