TFF hawawezi kumfukuza huyu bwana kwani wao hawajamwajiri, kaajiriwa na IKULU.
lakini je tatizo letu ni kocha kweli? maana huwa tunapenda kutafuta sababu rahisirahisi kama hizi bila kutafiti vizuri.
kwanza kwa timu kufungwa ni moja ya matokeo, kila kocha atakeyekuja kuna wakati timu itafungwa.
mimi naona tatizo letu huenda si timu ya taifa bali tatizo lipo toka kwenye timu zetu za ligi, mbona hata hizi timu zetu hazina makombe kama CAF nk? huwa tunaringiana hapahapa tu?
je wachezaji huku kwenye ligi wanatunzwa vipi kimchezo, kisaikologia nk?
lazima changes ziazie huku chini tukiwa na vilabu imara tutapata wachezaji wazuri na pia tutakuwa na timu ya taifa iliyo imara.
Kwa resorces alizopewa maximo so far zinaonyesha dhahili kwamba hana uwezo wa kutufikisha tunapotaka kuwa, hata kama ningekuwa mimi nipate hizo resouces basi ningesogeza timu mbele.
kwanza hapendi kusikiliza mawazo ya key players na wadau, wakimshauri anaona watovu wa nidhamu hiyo ni falier kwake, hata nchi za kwetu kocha asipotapa support oka kwa key players na kuanza kugawa wachaezaji anaondoka.
kangangania kaseja alimcheka, jee fanya utafiti tangu kaseja kaanza mpira kacheka makocha wangapi? na kwa nini afanye hivyo? hata baba nyumbani ukiwa zezeta watoto watakuchekia tu ukirudi hm tena wanakupa na jina la utani
Tunataka changes haraka, kama alialikwa na ikulu basi arudi ikulu apewe kazi nyingina hadi mkataba utakapoisha, timu apewe mtu mwingine..
We want a coach who can not explor and get more out of his players na hii ndo kazi ya coach, so ooohh mara chuji kaja kachelewa mazoezini - ooo boban mkorofi, kaseja kacheka timu eee
kocha lazima awe chini ya timu, lakini timu pia lazima imuheshimu na kama ikitokea timu haimuheshimu then jamaa ana matatizo hakuna perfomance yoyote itakayofanyika - mimi naweza kabisa kuwa kocha wa timu watakayokuwemo kila boban, kaseja, chuji na wengineo na wataniheshimu na lazima watafanya perfoamnce na kujifunza mbinu mpya
Watu wengine wanasema tatizo siyo maximo, wamejiuliza haya? 1. hana resorces za kutosha? 2. timu haikai kambini? 3. halipwi mshahara? 4. hapati support toka wa fan's na TFF?
Akirudi toka huko challenge apite moja kwa moja kwao, la tutamzomea kila kona hapa mjini, si anapenda kwenda Q bar pale kucheki Ligi ya UK.