Nyundo_tz
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 640
- 20
Tatizo ni moja tu... Kubadili badili wachezaji kila kukicha, unategemea ushindi hapo?kama wachezaji wana tatizo na kocha naye ana matatizo anaendekeza visasi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni moja tu... Kubadili badili wachezaji kila kukicha, unategemea ushindi hapo?kama wachezaji wana tatizo na kocha naye ana matatizo anaendekeza visasi tu
Maximo alishajiunga na ccm? maana watu watasemaaaaa na kuandikaaaa, lakini akirudi kutoka challenge ataongezewa mkataba ili ajenge timu mpya tena.
TFF hawawezi kumfukuza huyu bwana kwani wao hawajamwajiri, kaajiriwa na IKULU.
lakini je tatizo letu ni kocha kweli? maana huwa tunapenda kutafuta sababu rahisirahisi kama hizi bila kutafiti vizuri.
kwanza kwa timu kufungwa ni moja ya matokeo, kila kocha atakeyekuja kuna wakati timu itafungwa.
mimi naona tatizo letu huenda si timu ya taifa bali tatizo lipo toka kwenye timu zetu za ligi, mbona hata hizi timu zetu hazina makombe kama CAF nk? huwa tunaringiana hapahapa tu?
je wachezaji huku kwenye ligi wanatunzwa vipi kimchezo, kisaikologia nk?
lazima changes ziazie huku chini tukiwa na vilabu imara tutapata wachezaji wazuri na pia tutakuwa na timu ya taifa iliyo imara.
Kosa la Maximo ni moja tu-Kutomuingiza Juma Kaseja kwenye timu ya Taifa. Hata washabiki wa ile klabu kubwa mtaa wa Jangwani wanalijua hili. Ubishi ndiyo unamponza!
ANYWAY...kwann maximo aendelee kuwa kocha wa timu ambayo haleti mafanikio yoyote hata yale madogo ya kushinda mechi za nkirafiki achilia mbali kuingia fainal na kuchukua ubingwa wowote...huyu jamaa mie naamin hata akiipeleka timu yake kombe la kinesi haiwi mshindi wa tatu...lazma watoto wa uswazi watampiga bao tuu....
soooo...kimsingi huyu f*^*&&ra inabidi ACHAPE LAPA..hana ishuu...upeo wake wa kufikiria mbinu mpya ndo ushafika ukomo...KWA SASA HANA DEAL NA TIMU YETU YA TAIFA ZAIDI YA USANII WAKE NA KULINDA MASLAHI YA WALIOMWAJIRI KIUCHUMI
Kosa la Maximo ni moja tu-Kutomuingiza Juma Kaseja kwenye timu ya Taifa. Hata washabiki wa ile klabu kubwa mtaa wa Jangwani wanalijua hili. Ubishi ndiyo unamponza!
JK aliongea kwa nguvu zote kumtetea maximo lakini hizo nguvu angezitumia hata kuwa kemea hao mafisadi anao wakumbatia...Richmond, meremeta, ufisadi, deep green,... vimetushinda, jamani hata kumtoa Maximo tumeshindwa??????? Watanzania hususani wapenda socker tuamke!!!!
Kumbuka Simba na yanga huchukua wachezaji Wazuri EA, hivyo wachezaji wote wanao onekana wazuri mwisho wasiku watasajiliwa simba, yanga ni mara chache kubakia majimaji au kamahama United..
Mbona hatujiulizi wanapo wachakuwa wachezaji wa Taifa stars ni wengi wanatokea Dar Simba,yanga na timu chache za mikoani hilo sio tatizooooo?
Makocha wa Timu zetu za league ya Vodacom wanawafundisha vipi wachezajiwao huko kwa timu zao na wachezaji wana initiatives zipi kwa timu ya taifa ichezapo na nchi nyingineee??
Si anagombea umbunge kwao-Mbeya,jamani siasa kazi kwelikweli,kaamua atokee huku?magoba kaibukia huku..................
Si anagombea umbunge kwao-Mbeya,jamani siasa kazi kwelikweli,kaamua atokee huku?magoba kaibukia huku..................
Mazimo to me is not a coach.maana sijawai kuona CV yake na wapi kawahi kufundisha.ni sana tupu...huyo aliyemleta amchukua kwa taifa stars hatufai..Jamani si kuna SHIMIWI na pale ikulu wana timu yao inashiriki?basi aende huko