Should Maximo stay and enjoy the money 4 nothing? - Contract to be renewed?

Should Maximo stay and enjoy the money 4 nothing? - Contract to be renewed?

Maximo alishajiunga na ccm? maana watu watasemaaaaa na kuandikaaaa, lakini akirudi kutoka challenge ataongezewa mkataba ili ajenge timu mpya tena.

Sasa na sisi kama washabiki na wapenzi wa timu yetu ya Taifa tunyamaze tu! Hapana, tuna la kufanya. Kwanza tunasusa kwenda uwanjani pindi kuna mchezo wa taifa stars, au tukiamua kwenda basi tunawazomea! Mapato yakishuka Maximo ataondoka.
 
TFF hawawezi kumfukuza huyu bwana kwani wao hawajamwajiri, kaajiriwa na IKULU.
lakini je tatizo letu ni kocha kweli? maana huwa tunapenda kutafuta sababu rahisirahisi kama hizi bila kutafiti vizuri.
kwanza kwa timu kufungwa ni moja ya matokeo, kila kocha atakeyekuja kuna wakati timu itafungwa.
mimi naona tatizo letu huenda si timu ya taifa bali tatizo lipo toka kwenye timu zetu za ligi, mbona hata hizi timu zetu hazina makombe kama CAF nk? huwa tunaringiana hapahapa tu?
je wachezaji huku kwenye ligi wanatunzwa vipi kimchezo, kisaikologia nk?

lazima changes ziazie huku chini tukiwa na vilabu imara tutapata wachezaji wazuri na pia tutakuwa na timu ya taifa iliyo imara.


Kwa resorces alizopewa maximo so far zinaonyesha dhahili kwamba hana uwezo wa kutufikisha tunapotaka kuwa, hata kama ningekuwa mimi nipate hizo resouces basi ningesogeza timu mbele.

kwanza hapendi kusikiliza mawazo ya key players na wadau, wakimshauri anaona watovu wa nidhamu hiyo ni falier kwake, hata nchi za kwetu kocha asipotapa support oka kwa key players na kuanza kugawa wachaezaji anaondoka.

kangangania kaseja alimcheka, jee fanya utafiti tangu kaseja kaanza mpira kacheka makocha wangapi? na kwa nini afanye hivyo? hata baba nyumbani ukiwa zezeta watoto watakuchekia tu ukirudi hm tena wanakupa na jina la utani

Tunataka changes haraka, kama alialikwa na ikulu basi arudi ikulu apewe kazi nyingina hadi mkataba utakapoisha, timu apewe mtu mwingine..

We want a coach who can not explor and get more out of his players na hii ndo kazi ya coach, so ooohh mara chuji kaja kachelewa mazoezini - ooo boban mkorofi, kaseja kacheka timu eee

kocha lazima awe chini ya timu, lakini timu pia lazima imuheshimu na kama ikitokea timu haimuheshimu then jamaa ana matatizo hakuna perfomance yoyote itakayofanyika - mimi naweza kabisa kuwa kocha wa timu watakayokuwemo kila boban, kaseja, chuji na wengineo na wataniheshimu na lazima watafanya perfoamnce na kujifunza mbinu mpya

Watu wengine wanasema tatizo siyo maximo, wamejiuliza haya? 1. hana resorces za kutosha? 2. timu haikai kambini? 3. halipwi mshahara? 4. hapati support toka wa fan's na TFF?

Akirudi toka huko challenge apite moja kwa moja kwao, la tutamzomea kila kona hapa mjini, si anapenda kwenda Q bar pale kucheki Ligi ya UK.
 
Kuna somo moja hajasoma Maximo, dhamira ya timu ya mpira ni kushinda vikombe yeye amesomea kukuza vipaji, kama vipi angepelekwa kusomea kwa Morino badala ya kuendelea kupiga siasa. Kipaji hakikuzwi taifa stars bana aache vilabu vikuze vipaje na yeye achukue vilivyo juu kwa sasa, kumwacha kaseja ni kututovuga waTz.

Timu ilishaanza kukaa vyema na kutishia vigogo Afrika jamaa anatoa wachezaji kukuza vipaji manake hata uingereza wanakuza kipaji kimoja kwa karibu miaka minne, alikuwa Owen, 4 years later akaja Rooney na 4 years later Walcot lakini wafia timu lazima wawepo (Gerald, Lampard, Terry). Hakimkuza Tegete inatosha, kaseja, chuji na wengineo aende nao hivyo hivyo tu.
 
JK alisema atawaleta Madrid....ama kweli watanzania mabwege! Maximo si kocha ni mwalimu wa viungo! Anakula bata tu Tanzania
 
Maximo jamani ni kocha wala msimbishie ila uwezo wake ni hapo umefikia wakuu, tunataka amgeze tembo kwenda haja kubwa alafu akipasuka ile kitu? It is fine katutoa alipotutoa katufikisha hapa ni budi sasa ampishe na mwenzake atusogeze mbele zaidi, Maximo ni msanii fulani ila ukweli anaujua na udhaifu wetu anaujua ndio maana anakomaa aendelee kuvuta kakiasi kila mwisho wa mwezi
 
Kosa la Maximo ni moja tu-Kutomuingiza Juma Kaseja kwenye timu ya Taifa. Hata washabiki wa ile klabu kubwa mtaa wa Jangwani wanalijua hili. Ubishi ndiyo unamponza!


wakuu hapo kuna uhusiano gani jamani....? eti we kisikichampingo upo mwaka gani....

check it out son!
 
ANYWAY...kwann maximo aendelee kuwa kocha wa timu ambayo haleti mafanikio yoyote hata yale madogo ya kushinda mechi za nkirafiki achilia mbali kuingia fainal na kuchukua ubingwa wowote...huyu jamaa mie naamin hata akiipeleka timu yake kombe la kinesi haiwi mshindi wa tatu...lazma watoto wa uswazi watampiga bao tuu....

soooo...kimsingi huyu f*^*&&ra inabidi ACHAPE LAPA..hana ishuu...upeo wake wa kufikiria mbinu mpya ndo ushafika ukomo...KWA SASA HANA DEAL NA TIMU YETU YA TAIFA ZAIDI YA USANII WAKE NA KULINDA MASLAHI YA WALIOMWAJIRI KIUCHUMI
 
ANYWAY...kwann maximo aendelee kuwa kocha wa timu ambayo haleti mafanikio yoyote hata yale madogo ya kushinda mechi za nkirafiki achilia mbali kuingia fainal na kuchukua ubingwa wowote...huyu jamaa mie naamin hata akiipeleka timu yake kombe la kinesi haiwi mshindi wa tatu...lazma watoto wa uswazi watampiga bao tuu....

soooo...kimsingi huyu f*^*&&ra inabidi ACHAPE LAPA..hana ishuu...upeo wake wa kufikiria mbinu mpya ndo ushafika ukomo...KWA SASA HANA DEAL NA TIMU YETU YA TAIFA ZAIDI YA USANII WAKE NA KULINDA MASLAHI YA WALIOMWAJIRI KIUCHUMI

habari za Mwenge Maryland!
 
Kosa la Maximo ni moja tu-Kutomuingiza Juma Kaseja kwenye timu ya Taifa. Hata washabiki wa ile klabu kubwa mtaa wa Jangwani wanalijua hili. Ubishi ndiyo unamponza!

Hivi wewe unaakili kweli??? Mpira unaujua au wapenda bwabwaja??
Role ya Maximo au Coach ni nini?
Na Role ya wachezaji ni nini?

Jiulize maximo kaisogeza Taifa star wapi ktk uso wa dunia usipende kulopoka tuuu, Imefika wakati nasi watanzania tutambue mpira ni nini na wajibu wa wachezaji wetu waingiapo uwanjani ni nini kwanini tushide kila siku kumlaumu Coach na sio wachezaji???Kwanini tusitafute tatizo ndani ya TFF na wachezaji wetu??

Mbona hatujiulizi wanapo wachakuwa wachezaji wa Taifa stars ni wengi wanatokea Dar Simba,yanga na timu chache za mikoani hilo sio tatizooooo?

Makocha wa Timu zetu za league ya Vodacom wanawafundisha vipi wachezajiwao huko kwa timu zao na wachezaji wana initiatives zipi kwa timu ya taifa ichezapo na nchi nyingineee??

Huko Dar na TFF yenu ndio mwatupotezea mwelekeo wa mambo mengi sana na nchi haiendi kokote mumebweteka na kila kitu kuwa Dar hata mawazo haya panuki hata kuiga tu mpira wa uingereza unavyochezwa hamjuii kukalia majungu tuuuu na unafiki.

Kuanzishwe Chuo cha mpira kama huko Rwanda jamani mwazani soka yao imekuwaje kwa muda mfupi??? hamjiulizii????

Maximo mie kwangu yuko right kabisa ni sisi na uongozi wetu mbovu na wachezaji wetu kutokutaka kujielewa wawapo uwanjani na wanafanya nini.

Iv i huyo kaseja yeye ni mtungu hamkumbi mpaka makamba siku moja akawambia FAT mumekazaniiaaaa weeee Victor costa victor costa bila yeye timu haiendii???

Mfano mzuri me ni mshabi wa Arsenal jana tume pigwa 3 bila ila ukiangalia mpira tumeutwanga haswa ni umaliziaji sasa sisi wachezaji wetu hata chenga twawala hakuna twfanya nini???

 
Richmond, meremeta, ufisadi, deep green,... vimetushinda, jamani hata kumtoa Maximo tumeshindwa??????? Watanzania hususani wapenda socker tuamke!!!!
JK aliongea kwa nguvu zote kumtetea maximo lakini hizo nguvu angezitumia hata kuwa kemea hao mafisadi anao wakumbatia...
 
Nae anakomaaa tu si aende??hana jipya ni kocha wa visasi....aende zake!!imetosha sasa!!!
 

Mbona hatujiulizi wanapo wachakuwa wachezaji wa Taifa stars ni wengi wanatokea Dar Simba,yanga na timu chache za mikoani hilo sio tatizooooo?

Makocha wa Timu zetu za league ya Vodacom wanawafundisha vipi wachezajiwao huko kwa timu zao na wachezaji wana initiatives zipi kwa timu ya taifa ichezapo na nchi nyingineee??

Kumbuka Simba na yanga huchukua wachezaji Wazuri EA, hivyo wachezaji wote wanao onekana wazuri mwisho wasiku watasajiliwa simba, yanga ni mara chache kubakia majimaji au kamahama United..

kama makocha wa virabu vyetu ni wabovu mbona michuano ya klub bigwa Afrika mashariki na kati huwa tunajitutumua..kwanini kwenye timu ya taifa tusifanye vizuri?..timu inawezeshwa tofauti na kipindi chochote? nakwambia hata ungenipa mimi taifa stars ingepinga hatua kwa hiyo msitupumbaze na hizo ranking za FIFA...iliujue Maximo msimamizi wa mazozi na blah blah nyingi subiri tukutane na Zanzibar...maximo achape mwendo hatufai yaani hana jipya tena...kama vipi nipe first eleven ya maximo kwa muda wake wote aliokaa hapa Tanzania
 
Mazimo to me is not a coach.maana sijawai kuona CV yake na wapi kawahi kufundisha.ni sana tupu...huyo aliyemleta amchukua kwa taifa stars hatufai..Jamani si kuna SHIMIWI na pale ikulu wana timu yao inashiriki?basi aende huko

Kigogo; umeifanya siku yangu kuwa TAMU saaaaaaaaaaaaana! Timu ya TAIFA imekuwa kama NGO inayomilikiwa na watu wachache!
 
Mi nadhani sasa hebu tucahgue kocha mzalendo alipwe na Ikulu kama Maximo, Ikulu imlipe hizo USD 20,000 na huduma zingine zote halafu naye asiingiliwe kama Maximo, tunao makocha wengi wazuri kama kina Sunday Kayuni, S. Mziray ambao wamejipatia umaarufu mkubwa na ni wasomi wazuri katika tasnia ya soccer. Tuige wenzetu kama Misri hawana kocha wa kigeni lakini timu yao ni kali Afrika Hasheem Shihata ni mzalendo na vijana wake wote asilimia 99 wana cheza Misri ukianzia na kina Amr zaki, Aboutreka etc.
 
mwacheni masikio maksimo afanye kazi yake....inawezekana tukafanya vizuri kwenye mechi zilizobakia kwani mpira unadunda.....ila itaniuma pia iwapo ntagundua kuwa sisi bado ni kichwa cha mwenda wazimu....ntacharuka kweli ila kwa sasa tumpe muda na sapoti ya kutosha...............
 
hata mie nataka aende sio huyo magoba tu
alipofikia panatosha
 
Back
Top Bottom