Show ya Diamond Platnumz (MTV Base )

Jeje siyo copy.
1. Majina ya nyimbo kufanana kawaida sana. Hivi kuna nyimbo ngapi zinaitwa I love you?
2. Kama wasema beat, aliyetengeneza Jeje ya Mnaija na jeje ya diamond ni producer yule yule, ile ni identity ya beat zake kama ilivyokuwa kwa dunga na mabeat ya kubounce, au Justin Timberland na mabeat ya techno au Kimamba na beat zake za kubanjuko kama wahinindi.
3. Ifike mahali tukubari tu ukweli kama mtu akifanya vizuri na apewe sifa yake, Nasib aliua sana aisee kupingana na hilo ni kujitafutia presha, vidonda vya tumbo, makunyanzi kwenye uso, na kufa ukiwa umenuna kwa kijiba cha roho.
 
Utotoni mwako Umewahi kuumwa degedege?
 
😁😁😁Spartacus the mnyama mkali 🤣🤣🤣
 
.....ila kuna watu wanamchukia DP hadi inatisha. Jamaa hajawakosea chochote hawajui hawamjui lakini kila akifanyacho kwao ni kibaya tu!!! Kuna Watanzania wana chuki na roho mbaya za kutisha.

Ni furaha kukuona tena, yalisemwa mengi nyuma ya ukimya wako.... ikikupendeza ututoe hofu kama kuna kilichokusibu.

BAK is BACK.[emoji1491]
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…