Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Drink tea..My son, drink water.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Drink tea..My son, drink water.
hahahNipe link mkuu nilipo nakitonga cha wifi hapa.
Jeje siyo copy.Inakuaje Unajiita Msanii Mkubwa na Umepata kabahati ka Kuperform kwenye Show kubwa kama ile..
Unaenda kuperform Copy ya Nyimbo ya Msanii Mwezako? Hakuna Asiyejua Kua Jeje ni Copy..
Nikiwa kama Mdau wa Mziki na burudani Nimesikitika Sana, kweli Kijana Kaisha Ni bora Angeimba nyimbo ya kitorondo Sisi ma-Master wa hili Game tungemuelewa
volume iko sawa vipi mdomo umeshapona ?"Kama kazi mnifukuze tu ila Almasi alitisha sana"-B Dozen
Volume inatosha au niongeze?
Utotoni mwako Umewahi kuumwa degedege?Inakuaje Unajiita Msanii Mkubwa na Umepata kabahati ka Kuperform kwenye Show kubwa kama ile..
Unaenda kuperform Copy ya Nyimbo ya Msanii Mwezako? Hakuna Asiyejua Kua Jeje ni Copy..
Nikiwa kama Mdau wa Mziki na burudani Nimesikitika Sana, kweli Kijana Kaisha Ni bora Angeimba nyimbo ya kitorondo Sisi ma-Master wa hili Game tungemuelewa
Ww huwez muweka nandy kama Vanessa yupo na ndo maana tunalalamika hapa kafanya show mbovu.Waulize MTV waliondaa tamasha.
MTV ndio washa mweka sasa ktk list.Ww huwez muweka nandy kama Vanessa yupo na ndo maana tunalalamika hapa kafanya show mbovu.
Amina kiba,acha chuki zisizo msingi...Itakua Diamond aliugua Degedege Mkuu
volume iko sawa vipi mdomo umeshapona ?
pole sana ila hiyo ngumi ilikuwa nomaBado mzde baba
😁😁😁Spartacus the mnyama mkali 🤣🤣🤣Inakuaje Unajiita Msanii Mkubwa na Umepata kabahati ka Kuperform kwenye Show kubwa kama ile..
Unaenda kuperform Copy ya Nyimbo ya Msanii Mwezako? Hakuna Asiyejua Kua Jeje ni Copy..
Nikiwa kama Mdau wa Mziki na burudani Nimesikitika Sana, kweli Kijana Kaisha Ni bora Angeimba nyimbo ya kitorondo Sisi ma-Master wa hili Game tungemuelewa
Hujasahau na wewe 😂😂😂😂😁😁😁Spartacus the mnyama mkali 🤣🤣🤣
.....ila kuna watu wanamchukia DP hadi inatisha. Jamaa hajawakosea chochote hawajui hawamjui lakini kila akifanyacho kwao ni kibaya tu!!! Kuna Watanzania wana chuki na roho mbaya za kutisha.