Show ya Diamond Platnumz (MTV Base )

Show ya Diamond Platnumz (MTV Base )

Inakuaje Unajiita Msanii Mkubwa na Umepata kabahati ka Kuperform kwenye Show kubwa kama ile..

Unaenda kuperform Copy ya Nyimbo ya Msanii Mwezako? Hakuna Asiyejua Kua Jeje ni Copy..

Nikiwa kama Mdau wa Mziki na burudani Nimesikitika Sana, kweli Kijana Kaisha Ni bora Angeimba nyimbo ya kitorondo Sisi ma-Master wa hili Game tungemuelewa
Ila perfamance zote Diamond kafunika kwa creativity, wengine walikuwa wanaimba hukua wamekunja NNE kwenye masofa
 
Komenti bora sana hii mkuu.
Jamii forum inatoa nafasi Sawa ya kutoa hoja (welevu kwa wapumbavu) Ila kuna baadhi ya watu (watoa hoja) tungekuwa tunawajua (kama huyu) hata hoja zao tusingezisoma kabisa
 
Mhhhhhh Kingereza kwako kigumu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Hiyo show wamechaguliwa wasanii wakubwa wanao fanya vizuri ktk music industry ya Africa kwa ajili ya kuchangisha hela kwa waathirika wa Covid19 ina lenga watoto wa Africa.

Dah kweli leo ndio nimekuelewa vizuri,yaani unamchukia mtu mpaka sehemu zisizohusika,yaani wewe ukiambiwa umtengenezee sumu Diamond kwa jinsi ulivyo na roho mbaya utaionja kwanza alafu utampa.

Soma post hizo uzielewe na si kukurupuka.
Nandy msanii mkubwa Africa na anafanya vizuri kumbe nlikuwa sielewiii hahahahaaa
 
Back
Top Bottom