Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila perfamance zote Diamond kafunika kwa creativity, wengine walikuwa wanaimba hukua wamekunja NNE kwenye masofaInakuaje Unajiita Msanii Mkubwa na Umepata kabahati ka Kuperform kwenye Show kubwa kama ile..
Unaenda kuperform Copy ya Nyimbo ya Msanii Mwezako? Hakuna Asiyejua Kua Jeje ni Copy..
Nikiwa kama Mdau wa Mziki na burudani Nimesikitika Sana, kweli Kijana Kaisha Ni bora Angeimba nyimbo ya kitorondo Sisi ma-Master wa hili Game tungemuelewa
Sawa mwenyekiti wa kamati ya roho mbaya tumekuelewa.
Aiseee"Kama kazi mnifukuze tu ila Almasi alitisha sana"-B Dozen
Volume inatosha au niongeze?
Pole kwa kuumwa mafua mkuu😀😀Udasebaje bebe?
Jamii forum inatoa nafasi Sawa ya kutoa hoja (welevu kwa wapumbavu) Ila kuna baadhi ya watu (watoa hoja) tungekuwa tunawajua (kama huyu) hata hoja zao tusingezisoma kabisa
Nandy msanii mkubwa Africa na anafanya vizuri kumbe nlikuwa sielewiii hahahahaaaMhhhhhh Kingereza kwako kigumu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Hiyo show wamechaguliwa wasanii wakubwa wanao fanya vizuri ktk music industry ya Africa kwa ajili ya kuchangisha hela kwa waathirika wa Covid19 ina lenga watoto wa Africa.
Dah kweli leo ndio nimekuelewa vizuri,yaani unamchukia mtu mpaka sehemu zisizohusika,yaani wewe ukiambiwa umtengenezee sumu Diamond kwa jinsi ulivyo na roho mbaya utaionja kwanza alafu utampa.
Soma post hizo uzielewe na si kukurupuka.
Mkuu unaweza himili kupigwa Ban..??
Nimetoka kifungoni leo kisa...😅
Waulize MTV waliondaa tamasha.Nandy msanii mkubwa Africa na anafanya vizuri kumbe nlikuwa sielewiii hahahahaaa