SHow ya Wema sepetu. EATV

SHow ya Wema sepetu. EATV

Mwambieni atumie lugha moja asilete ujinga wake hapa.hawa ndo wanaishushia hadhi eatv,kama vp apeleke kule kwa machoko waa maghorofani
 
Hahahah nimefurahi kuwa lugha sijui ya jupiter
 
aliniboaa kakaa sehemu moja kama msumari na kipindi chenyew kimetengnezwa vbaya kimeungwa ungwa mpaka wakate sehem waweke tangzio mambo ya kugeza kina kim k wenzetu wanabuni kitu ili kipind kipendwe..lakin ww nakuaminia mpenda kikii
 
Ndo tuko hvyo binadamu hatupendani ngoja nay mjembuki mtafurAhi.
 
duuuh watu wana matusi. mi nilifikiri sijui ni watu gani kumbe mbwa? kweli celebrity kazi.

Kazi kidogo sasa akasema ndo precious kwake, hivi waislam na mbwa si najisi ama?
 
Nashindwa kuelewa hii show ya Wema sepetu! Kipndi kipokipo tuh, alafu hao watu wa TX, I mean wanaorusha matangazo wa hapo studio wanakata kata kwa kuingiza matangazo bila hata mpngilio!
Kipndi hakina ubunifu kabisaah ni kama kipnd cha mkasi tuh! Too bored! Alafu kujifanya wanajua kiingereza adi tunapata taabu kuwa wakaliman kwa kuwatafsria watu, wema tunajua wajua lugha ebu ongea kiswahili fasaha bana!

kingereza had kero
 
Wekeni mbali hivyo vingereza mixing na kiswahili,kwa wanaojua production ndio utaona utumbo zaidi.....ni afadhali wangeacha color halisi kutoka kwenye camera kuliko yale marangi waliyomwagia mle,na ile style yake ya typewriter ndio utumbo kabisa,maneno hayosomeki lkn nashangaa hata EA TV kukipeleka kipindi hewani.
 
Back
Top Bottom