Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
niliwasikia hata nawajua best
nimeshajibiwa shost eti kumbe ni mbwa wake anaowafanyiaga shopping china.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
niliwasikia hata nawajua best
maisha yake binafsi nahisii
nimeshajibiwa shost eti kumbe ni mbwa wake anaowafanyiaga shopping china.
Dada ungeacha nimjibu dah...
Kinahusu nini hicho kipindi?
duuuh watu wana matusi. mi nilifikiri sijui ni watu gani kumbe mbwa? kweli celebrity kazi.
niliwasikia hata nawajua best
vijibwa vyake eti
usimfananishe huyo kahaba mwenye kiwango na show yake na salama anaejielewa utapata dhambi
Nashindwa kuelewa hii show ya Wema sepetu! Kipndi kipokipo tuh, alafu hao watu wa TX, I mean wanaorusha matangazo wa hapo studio wanakata kata kwa kuingiza matangazo bila hata mpngilio!
Kipndi hakina ubunifu kabisaah ni kama kipnd cha mkasi tuh! Too bored! Alafu kujifanya wanajua kiingereza adi tunapata taabu kuwa wakaliman kwa kuwatafsria watu, wema tunajua wajua lugha ebu ongea kiswahili fasaha bana!
nahisi na DSTV amekariri. naona kasepa!We umjui uyo jamaa,hana ata kipindi anachofatilia wala kukijua...Ye kazi yake ni kupiga kelele majukwaa yote.
Sinema za leo kwenye kpnd cha leo ndo kali!
yaani sijaelewa kwakwel?