Hatari sana ,nawahurumia wanaojenga enzi hizi ,wakati sisi tunajenga mfuko wa cement ulikuwa unauzwa elfu 9 ,nondo 12mm ilikuwa inauzwa elfu 15 ,16mm elfu 21 ,mbao 2 by 2 Ths 1200 ,2 by 4 Tsh 2500 ,mrunda buku.
"Wakati wa ujana wangu mimi baba yenu ,shati dukani shilingi 6 unapata kwa hivi sasa shilingi 6 hata soda hupati" - Kumbuka enzi hizo nauli ya daladala ilikuwa ndiyo nauli na Dala(Dola) Ths 5 ilikuwa sawa na Dolla 1 ,maana yake 2500 ulikuwa unanua Shati kwa value ya sasa ni sawa na elfu 20 maana yake shilingi imeporomoka mara 500 vs dollar.