Shughuli za Ujenzi Zimeongezeka sana Mitaani Awamu Hii Ya Rais Samia na kutoa Fursa Ya Upatikanaji wa Pesa kwa vijana Mitaani

Hakika vifaa bei juu sababu ya kodi
Ujenzi ghrama sana kwa sasa.

Hatari sana ,nawahurumia wanaojenga enzi hizi ,wakati sisi tunajenga mfuko wa cement ulikuwa unauzwa elfu 9 ,nondo 12mm ilikuwa inauzwa elfu 15 ,16mm elfu 21 ,mbao 2 by 2 Ths 1200 ,2 by 4 Tsh 2500 ,mrunda buku.

"Wakati wa ujana wangu mimi baba yenu ,shati dukani shilingi 6 unapata kwa hivi sasa shilingi 6 hata soda hupati" - Kumbuka enzi hizo nauli ya daladala ilikuwa ndiyo nauli na Dala(Dola) Ths 5 ilikuwa sawa na Dolla 1 ,maana yake 2500 ulikuwa unanua Shati kwa value ya sasa ni sawa na elfu 20 maana yake shilingi imeporomoka mara 500 vs dollar.
 
Enzi hizi hatari sana
 
Back
Top Bottom