ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
PureView zeissZote nitakuja kukuonyesha ephen wangu na kukukabidhi hati Miliki kama Mama mwenye Nyumba .Maana si unajua mimi Mambo mengi hivyo inatakiwa wewe ndio uwe unakaa nazo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PureView zeissZote nitakuja kukuonyesha ephen wangu na kukukabidhi hati Miliki kama Mama mwenye Nyumba .Maana si unajua mimi Mambo mengi hivyo inatakiwa wewe ndio uwe unakaa nazo.
Hahahaha 😂😂😂😂
Niachie ephen wangu tulizo la ❤️ wangu.Hahahaha 😂😂😂😂
Naona bado anaota ndoto za mchana, uchawa ni kitu kibaya sanaaa
Hakika vifaa bei juu sababu ya kodiUjenzi ghrama sana kwa sasa.
Hakika vifaa bei juu sababu ya kodi
Ujenzi ghrama sana kwa sasa.
Enzi hizi hatari sanaHatari sana ,nawahurumia wanaojenga enzi hizi ,wakati sisi tunajenga mfuko wa cement ulikuwa unauzwa elfu 9 ,nondo 12mm ilikuwa inauzwa elfu 15 ,16mm elfu 21 ,mbao 2 by 2 Ths 1200 ,2 by 4 Tsh 2500 ,mrunda buku.
"Wakati wa ujana wangu mimi baba yenu ,shati dukani shilingi 6 unapata kwa hivi sasa shilingi 6 hata soda hupati" - Kumbuka enzi hizo nauli ya daladala ilikuwa ndiyo nauli na Dala(Dola) Ths 5 ilikuwa sawa na Dolla 1 ,maana yake 2500 ulikuwa unanua Shati kwa value ya sasa ni sawa na elfu 20 maana yake shilingi imeporomoka mara 500 vs dollar.