Halafu moto ukawazidi nguvu na kuunguza soko lote"Wakati moto unaanza nilikuwepo, Mimi ni moja ya Walinzi wa siku hiyo, sikuwa mbali na banda lililoanza kuungua niliitwa na kwenda kuanza kupambana kuzima moto, tulikata bomba la choo cha Halmashauri na kuchukua ndoo ili kuuzima japo ulituzidi nguvu"
"Chanzo cha moto ni Mateja ambao tupo nao sokoni Karume wanajihusisha na kuuza viatu, pale sokoni kuna moja ya banda ambalo wao wanalitumia kutengeneza mihadarati yao ambayo huwa wanatumia mishumaa kuitengeneza, mshumaa ulianguka na kuanza kuungua” ———Thomas via PowerBreakfast View attachment 2086178
KWA mujibu wakee baada yakuona moto alienda kuzimaa ukamshindaaa maana ulishapambaaa na kuhusu mateja anadai ndio waliounguza soko kwa kutumia mshumaaa maana huwa wanatumia mshumaa kupasha dawa zao za kulevya ili waweze kujichomaaa ,na matejaa wakishajidungaa huwaa wanasizii kbs yamkini inawezekanaa n kwel n mateja au n njamaa zao km serikali,ilaaa jamaa yy anasema hana preshaa walaaa wcwc maana biashara yk anaifanya karume aliikatia bimaa hvyo kwa hesabu zk atalipwa million kumi na moja na bimaa na milioni mojaa yakujikimuu mpk atakaposimama tenaa kibiasharaaHuu ushahidi unafikirisha sana, moto umeanza saa 7, hao mateja wakat wanadondosha huo mshumaa huyo shuhuda ye aliangalia tu na asiende kuzima huo mshumaa? Ushuhuda huu km sio wa michongo! Mi acha nishukie hapa japo sijafika kituo changu
Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
Moto wa mshumaaHalafu moto ukawazidi nguvu na kuunguza soko lote
Ushuhuda wake uko na utataKWA mujibu wakee baada yakuona moto alienda kuzimaa ukamshindaaa maana ulishapambaaa na kuhusu mateja anadai ndio waliounguza soko kwa kutumia mshumaaa maana huwa wanatumia mshumaa kupasha dawa zao za kulevya ili waweze kujichomaaa ,na matejaa wakishajidungaa huwaa wanasizii kbs yamkini inawezekanaa n kwel n mateja au n njamaa zao km serikali,ilaaa jamaa yy anasema hana preshaa walaaa wcwc maana biashara yk anaifanya karume aliikatia bimaa hvyo kwa hesabu zk atalipwa million kumi na moja na bimaa na milioni mojaa yakujikimuu mpk atakaposimama tenaa kibiasharaa
Ninachojiuliza, connection ya kufika Clouds yeye kaipataje pataje? Nilitegemea msemaji wa kikosi cha zimamoto ndio angeenda kutoa tamkoAcha story za uongo umetumwa kuvuruga.
Masoko mengi huwa yanapigwa viberiti.
1.Kupisha ujenzi
2.kulipwa bima.Hapa pia michezo ipo magari mabus malori,mabaa,mahotel, nyumba nk.
3.Kukimbia madeni,mikopo ya bank.
4.Factor zingine
Short za Umeme,uzembe wa mama lishe kuacha mkaa unawaka.
Nazan c yy n njaa imempelekaa palee akaongeee anayoongeaa ,au labda n kwel lkn kutokana n jamboo lililohadhiri wengii n ngumu kuelewekaaa,maana moto unawezaa sababishwa hata chechee tu ukawakaaa,mudaa utaongea ngoja tuoneeushuhuda wake uko na utata
Hajapangwa kweli huyu[emoji848][emoji848]Ninachojiuliza, connection ya kufika Clouds yeye kaipataje pataje? Nilitegemea msemaji wa kikosi cha zimamoto ndio angeenda kutoa tamko
Hao mateja ni wauza viatu humo sokoni,Mateja wanafanya nini sokoni muda wa saa 7 , au alikuwa analinda soko dhidi ya nani ? km anaruhusu mateja kuingia ndani ya soko ? umiza akili kdg bas
Pale siasa inapoingizwa kwenye mambo ya msingi. Kwahiyo alishuhudia moto ukiungua na hakuchukua hatua? Akili za utotoCloudsfmtz "Chanzo cha moto ni mateja ambao tupo nao sokoni Karume ambao wao wanajihusisha na kuuza viatu, unajua pale sokoni kuna moja ya banda ambalo wao huwa wanalitumia kutengeneza mihadarati yao ambayo huwa wanatumia mishumaa kuitengeneza na siku hiyo mshumaa ulianguka na kuanza kuungua" Thomas Benedicto, Mfanyabiashara na shuhuda wa moto soko Karume
#PowerBreakFast
View attachment 2085884
Mkuu shuhuda amenichanganya kitu kimoja!Ndio hapo sasa, na mshumaa hadu unaanguka chini yeye akawa anauangalia tu? Hadi soko linaungua?
Muda huo shuhuda huyo alikuwa wapi!! Huyu jamaa wala siyo mfanyabiashara ni type ya yule mwandishi aliyefariki kwenye mazishi akaagwa kijeshi anajaribu kutengeneza mazingira ya kuonyesha siyo serikali iliyohusika na uchomaji wa soko kama watu wengi walivyodai
Hapo sasa,na nijuavyo mswahili ajitumi bureNinachojiuliza, connection ya kufika Clouds yeye kaipataje pataje? Nilitegemea msemaji wa kikosi cha zimamoto ndio angeenda kutoa tamko
labda hukusom toka mwanzo mkuu, mateja wana frem yao humo sokoni wanauza viatu!!Ishirikishe akili yako kdg , ni saa 7 usiku hlf upo zamu kulinda soko , na unaanzaj kuwaacha mateja waingie sokoni mida ya saa 7 ? sasa alikuwa analinda nn?