Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Acha story za uongo umetumwa kuvuruga.
Masoko mengi huwa yanapigwa viberiti.
1.Kupisha ujenzi
2.kulipwa bima.Hapa pia michezo ipo magari mabus malori,mabaa,mahotel, nyumba nk.
3.Kukimbia madeni,mikopo ya bank.
4.Factor zingine
Short za Umeme,uzembe wa mama lishe kuacha mkaa unawaka.