Eminem jr
JF-Expert Member
- May 21, 2018
- 2,003
- 4,584
😀😀Mkuu kwa package ya vyakula uliyo tutajia mwanamke aliye kuwa anakuita mwanaume suruali atajuta kuzaliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀Mkuu kwa package ya vyakula uliyo tutajia mwanamke aliye kuwa anakuita mwanaume suruali atajuta kuzaliwa.
Imani haihusiani sana na mzunguko wa damu..madaktari wengi walkuwa wanashahuri wakisema sababu ni msongo wa mawazo na kutokujiamini lakini ukweli ni kwamba ukiwa uume legelege ndo unakuwa na msongo wa mawazo na hali ya kutokujiamini.Alafu pia ukabadili mtizamo kutoka hasi kuwa chanya,uliaaminini kuwa sasa nimepona
Mkuu huu mlo haujalishi una tatizo au hauna maana ni msaada tosha kwa watu wenye shinikizo la damu presha sukari na mengine mengi.Mkuu kwa package ya vyakula uliyo tutajia mwanamke aliye kuwa anakuita mwanaume suruali atajuta kuzaliwa,
Nimekuwa fiti kwelikweli hadi najiuliza nilichelewa wapi kujua siri hizi ambazo watu wanahangaika na madawa ya ajabu ajabuKwaiyo mkuu sasa hivi uko fiti sana
Hatari sanaMkuu kwa package ya vyakula uliyo tutajia mwanamke aliye kuwa anakuita mwanaume suruali atajuta kuzaliwa,
Mimi ndo nachoka kukaa kifuani hadi namisi kipindi napga kimoko cha fasta chali.sasa nakomaa mijasho hiyo na bado ninauwezo wa kuendeleA ..nilikuwa napga kimja siku hizi hadi vitatu npga na bado niko fit kuendeleaKwaiyo mkuu sasa hivi uko fiti sana
Unapiga kwa mkeo hivyo vitatu au kwa michepuko?Mimi ndo nachoka kukaa kifuani hadi namisi kipindi napga kimoko cha fasta chali.sasa nakomaa mijasho hiyo na bado ninauwezo wa kuendelea. Nilikuwa napga kimja siku hizi hadi vitatu npga na bado niko fit kuendelea
Kama unamudu sio mbaya ukajaribu maana kwa siku haizidi 10000Hatari sana
We hujanielewa,hata wewe mwanzo ulianza kwa kuamini kuwa una tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume na ukifanya tiba uliyotumia utapona,ugonjwa na tiba yake uko kwenye akili ya mtu husika,tiba imekua na matokeo makubwa baada ya wewe kuamini sasa nikitumia hivi vitu ntapona.Hongera mkuu kwa kutatua tatizoImani haihusiani sana na mzunguko wa damu..madaktari wengi walkuwa wanashahuri wakisema sababu ni msongo wa mawazo na kutokujiamini lakini ukweli ni kwamba ukiwa uume legelege ndo unakuwa na msongo wa mawazo na hali ya kutokujiamini
Hahahahahahah hayo mengine achana nayo mkuu maana target yangu nikuwasaidia wengineUnapiga kwa mkeo hivyo vitatu au kwa michepuko??
Nguvu za kiume kwa waliooa ni tatizo sababu ya mazoea na mke lakini akienda kwenye game za mchangani anaweza kupiga hata 5Hahahahahahah hayo mengine achana nayo mkuu maana target yangu nikuwasaidia wengine
Mtu yoyote ambaye damu inazunguka vizuri mwilini mwaka hawezi kusumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume hata kama hajiamini/ hana imani. Tatizo likikutokea ndo unapoteza ujasiri hata hamu ya kukutana na mwanamke una kosa.We hujanielewa,hata wewe mwanzo ulianza kwa kuamini kuwa una tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume na ukifanya tiba uliyotumia utapona,ugonjwa na tiba yake uko kwenye akili ya mtu husika,tiba imekua na matokeo makubwa baada ya wewe kuamini sasa nikitumia hivi vitu ntapona.Hongera mkuu kwa kutatua tatizo
Hata kama umezoea vp mkuu, kama mzunguko wa damu upo vizuri mwanamke aki suck ur d#ck lazima usimame tu.Nguvu za kiume kwa waliooa ni tatizo sababu ya mazoea na mke lakini akienda kwenye game za mchangani anaweza kupiga hata 5
Hahaa haaa haaaMkuu kwa package ya vyakula uliyo tutajia mwanamke aliye kuwa anakuita mwanaume suruali atajuta kuzaliwa
Asante. Lengo la ujumbe huu ni vizuri watu kuzingatia msosi ya maanaHongera yako
Kwa kweli mtu anayekula vitunguu swaumu akae mbali na mimi maana naweza mzaba ngumi ya mdomo akadondoka huko.
Mimi bado siamini"... Mpaka umgonge demu wa humu" halafu atuletee mrejeshoKwaiyo mkuu sasa hivi uko fiti sana