Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Alafu pia ukabadili mtizamo kutoka hasi kuwa chanya,uliaaminini kuwa sasa nimepona
Imani haihusiani sana na mzunguko wa damu..madaktari wengi walkuwa wanashahuri wakisema sababu ni msongo wa mawazo na kutokujiamini lakini ukweli ni kwamba ukiwa uume legelege ndo unakuwa na msongo wa mawazo na hali ya kutokujiamini.
 
Imani haihusiani sana na mzunguko wa damu..madaktari wengi walkuwa wanashahuri wakisema sababu ni msongo wa mawazo na kutokujiamini lakini ukweli ni kwamba ukiwa uume legelege ndo unakuwa na msongo wa mawazo na hali ya kutokujiamini
We hujanielewa,hata wewe mwanzo ulianza kwa kuamini kuwa una tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume na ukifanya tiba uliyotumia utapona,ugonjwa na tiba yake uko kwenye akili ya mtu husika,tiba imekua na matokeo makubwa baada ya wewe kuamini sasa nikitumia hivi vitu ntapona.Hongera mkuu kwa kutatua tatizo
 
Mtu yoyote ambaye damu inazunguka vizuri mwilini mwaka hawezi kusumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume hata kama hajiamini/ hana imani. Tatizo likikutokea ndo unapoteza ujasiri hata hamu ya kukutana na mwanamke una kosa.
 
Back
Top Bottom