Shuhuda za waliofanikiwa kupunguza uzito kwa mazoezi na lishe

Mkuu umenipa hamasa...naanza ss na Mimi,,,hapa nilipo Niko na 95 kgs,...ila ukiniangalia sio bonge kiivyo,,,na pia ni mwepesi sana,,,mazoezi nafanya sana ila sins ratiba wala muda maalum,,,mazoez nayopenda ni kunyanyua vyuma,kichura,squart na kukimbia kidogo ila ss baada ya zoezi huo msosi ninaogonga+nyama Choma na TBL kidogo ni balaa,
Sent using Jamii Forums mobile app
 
KULA PALE TU UNAPOSIKIA NJAA,
NA UKILA GAWA TUMBO SEHEMU TATU,
1/3 CHAKULA,
1/3 MAJI
1/3 HEWA
UNENA UTAUONA KWA WENGINE TU!!!!
Yes mkuu.

Watu wanakula mpaka wanahisi tumboni kuna kitu.

Kula ukiskia njaa na ukila hakikisha tumbo halihisi kama umebeba kitu,yani kula kwa starehe sio unakula kama jioni huli tena.utaenjoy.

Lakini mtu anakula anakuambia aaah nimeshiba kweli kweli hii mbaya na

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nanenepa kila siku, najichukia ila nashindwa kufanya maamuzi..
Mimi mostly nipo nyumban, sasa stress za maisha zinafanya nakua na ham ya kula ovyoovyo, cjui nifanye nini kucontrol hii hali ya ulaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa mchango wako
 
Wewe nyama choma na TBL hutapungua best
 
Hongera keep it up
Nimepima last week naitafuta 85 naumia lakini ratiba yangu nayo haina muda wa kutulia!!..
Mwenye kujua kupungua bila zoezi msaada tafadhali!!.. Huo ugoigoi poa tu
 
Mimi nanenepa kila siku, najichukia ila nashindwa kufanya maamuzi..
Mimi mostly nipo nyumban, sasa stress za maisha zinafanya nakua na ham ya kula ovyoovyo, cjui nifanye nini kucontrol hii hali ya ulaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta hata kujenga uwe saidia mkuu.jichanganye mtaani hsta ksms umegraduate.
Huko utapata chanel nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepima last week naitafuta 85 naumia lakini ratiba yangu nayo haina muda wa kutulia!!..
Mwenye kujua kupungua bila zoezi msaada tafadhali!!.. Huo ugoigoi poa tu
Kula Mara moja kwa siku ndani ya mwezi mmoja , Kama umefunga mwezi wa ramadhani usipopungua uje humu kunitukana.


Ninaposema kula Mara moja namaanisha Mara moja kweli ... Unakula usiku tu mpaka usiku Tena wa siku inayofuata. Kuna kipindi nilifanya hivyo mwezi wa ramadhani nilikata kilo 15 ndani ya mwezi. Wiki ya kwanza unaweza kupepesuka kwa kiu ya maji ila ukizoea hutaamani kuacha.


NB: Hakuna njia ya kuumpunguza uzito isoyoumiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kg 15 kwa mwezi?
 
Na maji pia unaacha kunywa ukitaka kupungua?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka ule hivyo /kuna wengine ndo wanapenda hivyo basi ale matunda mana matunda hata uyale vipi muda mfupi tu tumbo litakuwa jepes
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mkuu mimi kila mwezi wa Ramadhani naongezeka tu wakati Daku sijawahi kula hata siku moja tatizo ni nini? mlo wangu chai ya maziwa na chapati za kusigina + fried meat kufturu tena kesho yake Ila mazoezi labda nianze labda ndontapungua Ramadhani hi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usisubiri ramadhani Anza leo ... Usiku chakula chako kisiwe na wanga na sukari kwa sana... Funga mwezi mzima halafu ulete mrejesho hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…