Shuhudia leo Samba football Simba vs JKT Tanzania

Benevento

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2019
Posts
4,982
Reaction score
29,537
Simba vs JKT Tanzania

Uwanja Uhuru Stadium

Muda Saa 10:00 jioni

E20B334B-2F8E-4999-94A3-99FC261004FA.jpeg

21FFF022-7008-404B-8C57-16AD8CB6F65D.jpeg
 
Mzee baba hii mechi ni ngumu sana sio Kama anavyoifikiria ila nimefurahi kikosi alichopanga Leo I wish ndo angepanga kwenye ile mechi ya jumapili na uc sanongo unaona kabisa Kuna balance ya team tofauti na ile game wachezaji wote walikuwa sio wazuri kwenye kukaba ni wazuri tu wakiwa na mpira ndo maana walifungwa kirahisi
 
game saa ngapi mzee baba ni saa 10 ama 12
 
Karibu ufurahie kabumbu safi na magoli safi ya uhakika na ya uhakika sio kila mechi kagoli kamoja tena kwa mipira iliyokufa
kabisa tunatamani iwe hivyo maana mechi mbili za kimataifa simba tumeambulia kagoli kamoja tu tena cha penati.
 
vipi uwanja umejaa?
au na nyie mikia mmekuwa wa baridi kama vyura
 
Manula huwa haongei na defender wake mpira wa ku clear mabeki anatoka goli yeye.
 
Mzee baba hii mechi ni ngumu sana sio Kama anavyoifikiria ila nimefurahi kikosi alichopanga Leo I wish ndo angepanga kwenye ile mechi ya jumapili na uc sanongo unaona kabisa Kuna balance ya team tofauti na ile game wachezaji wote walikuwa sio wazuri kwenye kukaba ni wazuri tu wakiwa na mpira ndo maana walifungwa kirahisi

Hata mimi naamini kikosi hiki kinaweza kikawapa matokeo mazuri Simba..Yanga jana, kwa maoni yangu, walipotea maboya kwa kuweka wachezaji karibu wote wapya.
 
Back
Top Bottom