Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
game saa ngapi mzee baba ni saa 10 ama 12Mzee baba hii mechi ni ngumu sana sio Kama anavyoifikiria ila nimefurahi kikosi alichopanga Leo I wish ndo angepanga kwenye ile mechi ya jumapili na uc sanongo unaona kabisa Kuna balance ya team tofauti na ile game wachezaji wote walikuwa sio wazuri kwenye kukaba ni wazuri tu wakiwa na mpira ndo maana walifungwa kirahisi
Saa 10 jionigame saa ngapi mzee baba ni saa 10 ama 12
JKT Ruvu ameshashindaNguvumoja
kabisa tunatamani iwe hivyo maana mechi mbili za kimataifa simba tumeambulia kagoli kamoja tu tena cha penati.Karibu ufurahie kabumbu safi na magoli safi ya uhakika na ya uhakika sio kila mechi kagoli kamoja tena kwa mipira iliyokufa
WozaaaaGoooaal..
MK 14
SIMBA 1-0
Goooaal..
MK 14
SIMBA 1-0
Hahah umenikumbusha goli la UD Songo.Karibu ufurahie kabumbu safi na magoli safi ya uhakika na ya uhakika sio kila mechi kagoli kamoja tena kwa mipira iliyokufa
Mzee baba hii mechi ni ngumu sana sio Kama anavyoifikiria ila nimefurahi kikosi alichopanga Leo I wish ndo angepanga kwenye ile mechi ya jumapili na uc sanongo unaona kabisa Kuna balance ya team tofauti na ile game wachezaji wote walikuwa sio wazuri kwenye kukaba ni wazuri tu wakiwa na mpira ndo maana walifungwa kirahisi
Manula anatoka bila taarifa.. halafu anasita sita.Manula huwa haongei na defender wake mpira wa ku clear mabeki anatoka goli yeye.
Wako uwanjani wanapiga kazi... wanapiga header kidogo waweke goli.Wabrazil wa India ni sawa na watumishi Hewa