Shujaa Majaliwa ajira yake, elimu yake inakidhi vigezo vya Serikali?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Kijana Shujaa Majaliwa kamaliza darasa la saba (kama alivyohojiwa mama yake). Policy/sheria ya uajiri Serikalini inasema lazima uwe at least darasa la 12, ie form 4. Sasa Majaliwa anaajiriwa kwa sheria ipi? Anakidhi vigezo?

Note: Sina tatizo/wivu and the like naye kuajiriwa, but tusiwe vipofu wa kutotoa hoja za kisheria ambazo zimewafukuza vijana wengi serikalini kwaajili hawana elimu ya kidato cha nne na kuendela.
 
Sheria inaweza kuvunjwa kwa maslahi mapana ya umma. Hata wahalifu wanaweza kupunguziwa adhabu by the way tafuta pesa nyingi, tengeneza connection, zungunga uijue dunia. Utafurahi sana
kwaheri!
 
Kuna vijamaa navyo sasa vinatamani vingekuwa Majaliwa, shame, mtu aliishia form 2 kwa kukosa hela ya sare za shule leo hii mnamuonea wivu? Shule atasoma na kazi atafanya vile vile, ndio maana hata wale lasaba waliambiwa wajiendeleze wafike form 4 waliokaidi jiwe alikula kichwa.
 
Kijana Shujaa Majaliwa kamaliza darasa la saba (kama alivyohojiwa mama yake). Policy/sheria ya uajiri serikalini inasema lazima uwe at least darasa la 12, ie form 4. Sasa Majaliwa anaajiliwa kwa sheria ipi? anakidhi vigezo?

Note: sina tatizo/wivu and the like naye kuajiliwa , but tusiwe vipofu wa kutotoa hoja za kisheria ambazo zimewafukuza vijana wengi seriklini kwa ajili hawana elimu ya kidato cha nne na kuendela.
Ndo maana nilisema Majaliwa atakuja kutelekezwa kusikojulikana na Serikali ya CCM ni suala la muda tu ngoja huu upepo upite, ni bora Majaliwa apelekwe shule akapate hata elimu ya fom4 kupitia QT.

Ndo aje asome hayo mafunzo mengine baada ya kupata cheti cha form 4 na kuendelea au apewe mtaji wa kufanya shughuli yake ya uvuvi akiwa huru.
 
Kijana Shujaa Majaliwa kamaliza darasa la saba (kama alivyohojiwa mama yake). Policy/sheria ya uajiri serikalini inasema lazima uwe at least darasa la 12, ie form 4. Sasa Majaliwa anaajiliwa kwa sheria ipi? anakidhi vigezo?

Note: sina tatizo/wivu and the like naye kuajiliwa , but tusiwe vipofu wa kutotoa hoja za kisheria ambazo zimewafukuza vijana wengi seriklini kwa ajili hawana elimu ya kidato cha nne na kuendela.

Rudisha nyuma (rewind) anzia kwa bashite
 
Sheria zote huwa zina "waiver" za aina fulani. Hivyo hata kama elimu yake hairuhusu, anaweza kupewa hiyo "waiver" na chombo husika. Elewa Pia dunia siku hizi imekwenda kwenye "results oriented"; na sio elimu ya kuonyesha Ma-Vyeti mengi - halafu unashindwa "Kuonyesha Matokeo". Unataka kutuambia hapo Bukoba wakati Ndege inaanguka hakukuwa na watu wa Fire/ Kikosi cha Zimamoto??? Hapo Airport ya Bukoba si kuna watu wa Fire, waliosemea na wana vyeti?? Mbona hawakwenda kuzamia na kuwaokoa abiria?? Hata vikosi vyetumbalimbali ambavyo tunawaona wakionyesha mambo mengi kwenye TV kwenye viwanja wakati wa sikukuu mbalimbali mbele ya Jemadari wetu si wapo pia hapo Bukoba?? Mbona hatukuona sasa wafanye "Ki-uhalisia" yale wanayotuonyeshaga kwenye hizo sikukuu/TV??
 
Rais ana mamlaka ya kuajiri mtu yoyote, mambo mengine mnayouliza mbona ni rahisi sana mnatuchosha great thinkers
 
Sheria zote huwa zina "waiver" za aina fulani. Hivyo hata kama elimu yake hairuhusu, anaweza kupewa hiyo "waiver" na chombo husika. Elewa Pia dunia siku hizi imekwenda kwenye "results oriented"; na sio elimu ya kuonyesha Ma-Vyeti mengi - halafu unashindwa "Kuonyesha Matokeo". Unataka kutuambia hapo Bukoba wakati Ndege inaanguka hakukuwa na watu wa Fire/ Kikosi cha Zimamoto??? Hapo Airport ya Bukoba si kuna watu wa Fire, waliosemea na wana vyeti?? Mbona hawakwenda kuzamia na kuwaokoa abiria?? Hata vikosi vyetumbalimbali ambavyo tunawaona wakionyesha mambo mengi kwenye TV kwenye viwanja wakati wa sikukuu mbalimbali mbele ya Jemadari wetu si wapo pia hapo Bukoba?? Mbona hatukuona sasa wafanye "Ki-uhalisia" yale wanayotuonyeshaga kwenye hizo sikukuu/TV??
Hujanielewa, kwaheri!
 
Back
Top Bottom