gabriel Heinze
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 512
- 685
Mtu hawez kuwa mnywaji na awe na roho mbaya, vp unakunywa pia ?Naam shukran zangu za dhati ziende kwa kaka min- me nilijunga jf mwaka huu akawa wa mwazo kunikakaribisha na amekua aki comment na ku like post zangu nyingi.
Hii inanipa motisha na hamasa ya kuendelea kujituma zaidi ili nifike malengo niliokusudia katika kupaza sauti za watoto wa mtaani mayatima na wa kimasikin wa jamii ya Tanzania.
Lengo langu ni siku moja The Zanzibar Echo liwe jukwaa kubwa hapa Tanzania, Afrika na dunia kwa ujumla, hivo naomba support yenu kama anavofanya kaka mkuu min- me.
Mwisho nawashkuur wote, Asanteni sana na mungu awalinde na kuwafanyia wepesi katika harakati zenu za kila siku
Kapo humu au kapo wap Hako ka gen_zTandika Kaka basi sawa .
Hapo Niko naweka mafile yangu sawa ,Kuna ka Gen Z lazima nikafunge mwaka huu
Kaka point nzito na kubwa SANAAAAAA π€Mtu hawez kuwa mnywaji na awe na roho mbaya, vp unakunywa pia ?
Hapo sawaHahahaha mimi nakunywa kwa machale sana
Niliona aisee π πUnataka kusemaje kaka Mimi ule uziii KULE nime achana nao maana zilizuka tafrani/ kupalulana ukijumlisha konyagiiii KICHWANI nikageuka gentamicin sulfate injection π π π π€£π
Kaka ningependa hayo mambo yaishe kiume master , ugomvi sio mzuri kabisa, leo kesho hauwezi jua anaeku save ni nani bwashee, hizi mbaga tunazimaliza kiume tuπUnataka kusemaje kaka Mimi ule uziii KULE nime achana nao maana zilizuka tafrani/ kupalulana ukijumlisha konyagiiii KICHWANI nikageuka gentamicin sulfate injection π π π π€£π
Noma sanaaaaaaNiliona aisee π π
Sawa kaka mkuu, π π aman itawale Yale yameisha kabisa kwa moyo mweupeeeeeKaka ningependa hayo mambo yaishe kiume master , ugomvi sio mzuri kabisa, leo kesho hauwezi jua anaeku save ni nani bwashee, hizi mbaga tunazimaliza kiume tuπ
Ukiona mtu ana majibu ya hovyo dawa yake ni kumuweka ignore list tu brother niliona kule kulikuwa na wana wanazingua sana yaani πNoma sanaaaaaa
ππππππππephen_ kuna kitu ulicheka naomba nikuulize kituπ€
Nimemwita kapita kimya kimyaephen_ kuna kitu ulicheka naomba nikuulize kituπ€
ππMuda sio mrefu utasikia anajichatisha mwenyewe
Yah , najua uligida mapombe ,π π muhimu amani tu bwasheeSawa kaka mkuu, π π aman itawale Yale yameisha kabisa kwa moyo mweupeeeee
Haaahaa π π true nikujifunza mkuu hii ndio Dunia imebeba mengiiiUkiona mtu ana majibu ya hovyo sawa yake ni kumuweka ignore list tu brother niliona kule kulikuwa na wana wanazingua sana yaani π
Uziiii unatembea kwa kasii Kama SGR aiseeee....hapo kwenye kujichatisha ππππππππ€£π€£Muda sio mrefu utasikia anajichatisha mwenyewe
Haaahaa π πYah , najua uligida mapombe ,π π muhimu amani tu bwashee
Mimi ndio huwa nafanya hivyo maana humu watu miyeyusho sanaHaaahaa π π true nikujifunza mkuu hii ndio Dunia imebeba mengiii