Shukrani za dhati kwa Dr am 4 real phD kwa kunitumia 3k ya kula leo

Mods huu uzii uunganishwe Mimi nili kua na mtania nashangaa akaanzisha thread πŸ˜΄πŸ˜”
 
Sinaga uswahili huo, kuna member nilimtumia 40k akanishukuru kwa comment tu nikammind itakuwa uzi? 😹😹😹

Na toka siku hiyo hata akiniambia chochote kinachohusu pesa simpi, nimemuona friji lake haligandishi..!!
Jamaa sijui kafikilia nini huwezi kua labda ni kukwama kwa kiasi gani infact Mimi nilikua natania TU.

So BINADAMU HATUFANANII
 
Mkuu pm yako ipo waz tuje kuthibitisha mtu akiomba zaidi ya elfu 3 unafanya muamala chapu kwa haree
 
Sinaga uswahili huo, kuna member nilimtumia 40k akanishukuru kwa comment tu nikammind itakuwa uzi? 😹😹😹

Na toka siku hiyo hata akiniambia chochote kinachohusu pesa simpi, nimemuona friji lake haligandishi..!!
Hivi tuliishia wapi kuhusu lile swala letu la kuanzisha mahusiano? πŸ€”
 
Mkuu pm yako ipo waz tuje kuthibitisha mtu akiomba zaidi ya elfu 3 unafanya muamala chapu kwa haree
Lazima niku assess so Mimi sio TAJIRII ila NAUWEZO WA KUMPA MAJI MSHIKAJI YEYOTE ALIYE NA KIU.

Humu Kila MTU na akili zake in fact Mimi nili mtania jamaa kuanzisha thread 😴
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…