Shukrani za dhati kwa Dr am 4 real phD kwa kunitumia 3k ya kula leo

Nyie watu wafupi mnaongea sana. Kwa mdomo tu, we bingwa ila kwa nakozi!!!!! Ulikimbia mkuu.

Kuwa na siku njema charismatic fella
 
Umeingia woga sio naona unajishusha sasa. Haina shida mkuu, yote mema kuwa na siku njema.
 
Kaka, hela mbona zipo nyingi kipndi hichi, niwew kuthubutu tuu na kuuvaa ujasir
 

Muheshimiwa Mwenyekiti wetu NTU wa Dili ,kachukua ushuru kuniziba mie n' domo kanipa AFU TATU ,kataa braza kataaaa.
 
Wewe acha ujinga,yani wewe unitishe mimi? Hivi una akili sawa kweli wewe? Kumbe ni mtu usiyestahili kuheshimiwa sio? Acha shobo na mimi,

Nimekuelewesha nilifikiri ni mtu wa maana ungeelewa,punguza shobo na mimi.
πŸ–•
 
Hahahaha babu sina ID nyengine nimenyooka kama rula yaani, Madaktari tunahujumiwa ila upepo utapita na heshima yetu itarudi tuu πŸ˜„
Poleni madaktari wetu wa JF πŸ€—

Ukiweza kumiliki ID moja, inaonesha hata mahusianoni unaweza kutulia na mmoja

Kama ilivyo kwangu Babu yenu nilivyotulia na Bibi yenu tangu mwaka 47 πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…