evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Hizi salamu hazituhusu wana jf
Ndugu zangu nashukuru uchaguzi tumemaliza salama na mimi nimeshinda. Nichukue fursa hii kuwashukuru wapenzi na wadau wote wa mpira miguu ambao kwa namna moja au nyingine wameshiriki kwenye mchakato.
Siku chache zijazo nitafungua thread hapa nikiomba maoni na mapendekezo yenu kuhusu ni jinsi gani tutaimarisha timu yetu ya Taifa kwa ajili ya AFCON qualifiers Novemba mwaka ujao.
Tafadhali jiandae kuchangia.
Malinzi
Kwanza hongera sana
pili nisemw tu kazi iliyoko mbele yako ni kubwa mno
kiasi kwamba ukiiweza utakuwa shujaa na ukiishindwa jiandae kwa lawama na matusi tele..
tatu ni kuwa nimesikia unasema tuandae AFCON
KWANGU KUANDAA afcon NI GHARAMA KUBWA ZAIDI KULIKO TAIFA STARS KWENDA afcon..
Mwisho usikimbie tu JF
kuwa in touch na members wa humu watakupa ushauri kila unapohitaji
kwani ni nani huyu
Hongera sana manfesto yenu mjaribu kuyatimiza.
Zawadi kubwa ninayotarajia ni Kuiona Taifa stars wakicheza kombe la Africa na la Dunia kwa maandalizi yako mazuri 2018
Ndugu zangu nashukuru uchaguzi tumemaliza salama na mimi nimeshinda. Nichukue fursa hii kuwashukuru wapenzi na wadau wote wa mpira miguu ambao kwa namna moja au nyingine wameshiriki kwenye mchakato.
Siku chache zijazo nitafungua thread hapa nikiomba maoni na mapendekezo yenu kuhusu ni jinsi gani tutaimarisha timu yetu ya Taifa kwa ajili ya AFCON qualifiers Novemba mwaka ujao.
Tafadhali jiandae kuchangia.
Malinzi
Watanzania bwana. Wanapenda kumaliza hasira za matatizo yao kwa watu wengine.
Msiposhirikishwa lawama. Mtu kawashirikisha bado lawama.
Kwa haya uliyoyaandika hapa nadhani hujasoma Ilani yake ya uchaguzi. Kwa sisi tunaofatilia tunajua ipo kwenye mitandao ya kijamii. Itafute uisome kabla ya kuja na hizo lawama.
Ndugu zangu nashukuru uchaguzi tumemaliza salama na mimi nimeshinda. Nichukue fursa hii kuwashukuru wapenzi na wadau wote wa mpira miguu ambao kwa namna moja au nyingine wameshiriki kwenye mchakato.
Siku chache zijazo nitafungua thread hapa nikiomba maoni na mapendekezo yenu kuhusu ni jinsi gani tutaimarisha timu yetu ya Taifa kwa ajili ya AFCON qualifiers Novemba mwaka ujao.
Tafadhali jiandae kuchangia.
Malinzi
Ndugu zangu nashukuru uchaguzi tumemaliza salama na mimi nimeshinda. Nichukue fursa hii kuwashukuru wapenzi na wadau wote wa mpira miguu ambao kwa namna moja au nyingine wameshiriki kwenye mchakato.
Siku chache zijazo nitafungua thread hapa nikiomba maoni na mapendekezo yenu kuhusu ni jinsi gani tutaimarisha timu yetu ya Taifa kwa ajili ya AFCON qualifiers Novemba mwaka ujao.
Tafadhali jiandae kuchangia.
Malinzi
ahaahaaaaa miss u big my lovely sister !Ni Rais wa TFF Jamal Malinzi wewe wacha wewe bana
ahaahaaaaa miss u big my lovely sister !
Mkuu nikupongeze kwa ushindi wako, lakini hapo niliposhade kwa rangi nyekundu kidogo pamanishtua, ungetumia wingi badala ya umoja ingefaa zaidi, ni imani yangu basi kwa shangwe zote hizi za members wengi humu utaleta mabadiliko katika soka letu, lihame kutoka soka ya magazeti hadi soka halisi ya uwanjani, porojo zimekua nyingi sana, utendaji ni sifuri, ni zaidi ya miaka 5o sasa tumekwenda Afcon mara moja tu, na simba na yanga hazina hata viwanja...upokeaji wa mapato viwanjani mfumo ni wa kizamani sana, ukatishaji wa tiketi bado wakizamani, ukaaji ndani ya uwanja hakuna utaratibu, uwazi wa mapato na matumizi, uchaguzi wa timu ya taifa , kwakweli TFF inahitajika mabadiliko makubwa sana kuliko inavyofikirika, nadhani unaweza rekebisha machache katika kipindi cha uongozi wako...si kazi rahisi lakini tunauhakika utajitahidi..basi tukutakie utendaji mwema ulio na uwazi pamoja na weledi ukizingatia uzalendo kwa taifa letu.Ndugu zangu nashukuru uchaguzi tumemaliza salama na mimi nimeshinda. Nichukue fursa hii kuwashukuru wapenzi na wadau wote wa mpira miguu ambao kwa namna moja au nyingine wameshiriki kwenye mchakato.