Shukuru Kawambwa kwenye mgogoro wa ardhi na diwani mstaafu, Hassani Usinga. Watishiana kufungana pingu

Kuna siku wananchi watawafunga kamba mafisadi wote wa sisiem na kuwaburuta kama bokasa mtaani.
 
Pingu kanyimwa, kuna mdada kavua wigi wakatumia kama kamba sheme on him, unafunga kamba mtu ana phd kweli? Hapana kabisa,
Kwenye clip inaonekana pingu nahisi hapo kulikuwa na mgambo!,
Profesa PhD holder waziri mgambo anamfunga....
Huyu kijana lazima ashughulikie sio kwa kumdhalilisha mheshimiwa hivyo.

Alishindwa nini kutumia hekima kuobgea nae?
 
Kijana aliyemtishia Dr.Kawambwa lazima achezee vitasa
Huwezi mzalilisha PhD holder ukaachwa hivi hivi
 
Ungejipa hata muda wa kupitia comments za wachangiaji wa awali kabla ya kubwabwaja.
 
Wakuu sio kweli Mimi niko kitopeni Kwa Mashaka kilichotokea ni kwamba shukuru kawambwa anatetea maslahi ya wengi hapa kitopeni yameanzishwa machimbo ya mchanga kilometer mbili kutoka stand kuu ya bagamoyo na Mita mia tatu kutoka bagamoyo road kama unaitazama kesho unaona kabisa shukuru kawambwa na dso walikua wakitetea kizazi Cha kesho hasa ukitazama shughuli za machimbo hayo zimewaacha wananchi bila ya Barbara Yan sio pikpik sio gari wala watembea Kwa miguu
 
Wahuhuni wanamzushia udalalali Mzee wa watu, vijana waliohusika na kumfedhehesha laana khum
 
Huyu farasi anaropoka kama mwijaku, daaah kamletea fedhea sana mheshimiwa, abinywe kidogo siku nyingine aheshimu watu wazima.
 
Rekebisha heading, sio watishiani sema Diwani mstaafi amtishia kumfunga pingu Mh Kawambwa.Period.
 
Wewe ni miongoni mwa mavijana ya hovyo humu nchini yenye akili finyu, zilizojaa makamasi, we unaujua vizuri huo mgogoro? Mtu anaharibu mazingira, anasababisha mamia ya wananchi wanashindwa kupita kwa uharibifu wa barabara uliofanywa na huyo muhuni aliyevaa kaboka na genge lake la wachota michanga, Kawambwa anazuia uharibifu, tena kwa baraka za mkutano wa kijiji ,halafu wewe unamkebehi na kumwita dalali!!! Hovyo kabisa wewe.
 
Eeh mipunga kama kawaida
Zamani kuna kisa nakikumbuka
Tulikuwa tunakaa jirani na mzee mzena,sasa pale kwa mzena kutimba ilikuwa kawaida tu
Sasa kuna siku waliendaga watu wa dawasco wakati ule wanaitwa NUWA something like that,jamaa wale walienda kwake kukata maji
Walizuiwa sema jamaa wakakata maji kibabe na maneno mengi ya kashfa,jamaa wakaambiwa nyie mnapajuwa pale kwa nani 😄
Kilichowapata wale jamaa wanajuwa wenyewe.....maana walikuja mabosi zao wenyewe wakafungua maji 😄
Ilikiwa adaestate hiyo

Haya mambo ya kukurupuka kumsomea mtu mbovu bila kumjuwa ni hatari sana

Ova
 
Mk
Mkuu mkoa wa pwani naye kazungumza
Huyo jamaa atabanwa
Ila kawambwa miaka nenda rudi syo muongeaji sana Ana ustarabu fulani ndomana kwenye ile clip alikuwa anamcheki tu jamaaa
Ila jamaaa msng kweli eti anataka kuwafunga kamba

Ova
 
Nilipost kadri nilivyoipata kutoka kwenye magroup kwa wakati ule. Na ninajuwa Diwani wa zamani ndiye aliishia kushikwa na Polisi.

Mbona hili limekwisha. Kawwmbwa hana shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…