Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye clip inaonekana pingu nahisi hapo kulikuwa na mgambo!,Pingu kanyimwa, kuna mdada kavua wigi wakatumia kama kamba sheme on him, unafunga kamba mtu ana phd kweli? Hapana kabisa,
Kijana aliyemtishia Dr.Kawambwa lazima achezee vitasaMleta mada huna adabu.
Prof. Kawambwa ninafahamiana naye.
Hawezi kujiingiza kwenye udalali. Hakua na elimu ya kudesa huyu bwana. Amesoma uhandisi UDSM akasoma PhD yake masuala ya engineering Australia
Hakua na skendo za kipuuzi na si mtu wa kujikweza na mpuuzimpuuzi kama walivyo CCM wengi.
Ungejipa hata muda wa kupitia comments za wachangiaji wa awali kabla ya kubwabwaja.Dah
Wakuu hii inaudhunisha sana
Huyu Mwamba alikuwa Mhadhiri, Mbunge na Waziri.
Akiwa Waziri aliwahi kuja kutuliza mgomo UDSM. Kwa kipindi hicho, alionekana ni mtu asijitambua, hajui kujieleza na hana maono wala solution ya changamoto za wanafunzi. Aidha alikuwa anayumba sana Sana Bungeni. Kutokana na udhaifu huo wadau walihoji sana kuhusu alivyopata PhD, na aliwezaje kuwa mbunge na Waziri.
Ingawa sijajua backgraound ya huu mnyukano, naona fedhehe, huruma kwa mtu mwenye hadhi yake kuwa katika mazingira ya kurumbana na kuvunjiwa heshima na vijana uswekeni. Hii inafanya tuanze kuamini kuwa pengine wale waliokuwa wanahoji uwezo wake kiutendaji na kifikra, walikuwa sahihi.
Haiingii akilini kwa PhD, na mtu aliwahi kuwa Waziri wa Ujenzi/Mawasiliano, Waziri wa Elimu kufikia hali hii. Kutokana na elimu na Uzoefu wake, alipaswa kuwa mtu decent anayemudu maisha yake na anayekubalika katika jamii. Wengine tulitegemea awe katika majukwaa ya kimataifa akitoa uzoefu kwa new generation, au kuwa investors au mkulima mwenye mafanikio au kuwa sehemu akilea wajukuu huku akifurahia pension yake.
Hii inatoa picha kuwa siasa ndio ilikuwa biashara na kitu kilichokuwa kinampa heshima mjini. Nje ya siasa hana uwezo wa kumudu kuendesha maisha yake ipasavyo. Kwa maana nyingine tuliongozwa na kilaza. Kama yeye mwenyewe ameshindwa kumudu maisha licha ya kupata fursa adimu na kubwa aliwezaje kuwa kichwa cha wizara alizoziongoza.
Huyu ni mfano tu lakini wapo mawaziri na makatibu wakuu wastaafu wengi tu ambao maisha yao ni huzunin tupu baada ya kustaafu. Kuna kiongozi mmoja mzito wakati akiwa juu aliwahi piga deal la 20B, lakini hivi sasa hana kitu, anasumbua tu vijana walipo serikalini ili wampige tafu. Somo ni kuwa kujilimbikizia hela haramu siyo deal, deal ni akili na nidhamu ya maisha uku ukimtegemea mungu.
Mungu atusaidie tupate viongozi bora wenye uwezo kutuongoza
Kijana tangu akiwa Diwani alikuwa kidomodomo sana.Wembe kajiingiza kwenye matatizo kibwege sana
Wakuu sio kweli Mimi niko kitopeni Kwa Mashaka kilichotokea ni kwamba shukuru kawambwa anatetea maslahi ya wengi hapa kitopeni yameanzishwa machimbo ya mchanga kilometer mbili kutoka stand kuu ya bagamoyo na Mita mia tatu kutoka bagamoyo road kama unaitazama kesho unaona kabisa shukuru kawambwa na dso walikua wakitetea kizazi Cha kesho hasa ukitazama shughuli za machimbo hayo zimewaacha wananchi bila ya Barbara Yan sio pikpik sio gari wala watembea Kwa miguuView attachment 2973546
Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya JK kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo.
Kwenye clip anaonekana akiburuzwa na vijana kwenye udalali/ utapeli wa viwanja eneo la Bagamoyo. Mafao ya ubunge ya vipindi 2 yote yamekwisha
Kweli siasa ni nyokooo!!
Wahuhuni wanamzushia udalalali Mzee wa watu, vijana waliohusika na kumfedhehesha laana khumWakuu sio kweli Mimi niko kitopeni Kwa Mashaka kilichotokea ni kwamba shukuru kawambwa anatetea maslahi ya wengi hapa kitopeni yameanzishwa machimbo ya mchanga kilometer mbili kutoka stand kuu ya bagamoyo na Mita mia tatu kutoka bagamoyo road kama unaitazama kesho unaona kabisa shukuru kawambwa na dso walikua wakitetea kizazi Cha kesho hasa ukitazama shughuli za machimbo hayo zimewaacha wananchi bila ya Barbara Yan sio pikpik sio gari wala watembea Kwa miguu
Wahuhuni wanamzushia udalalali Mzee wa watu, vijana waliohusika na kumfedhehesha laana khum
Kabisa Yani ukiiona hiyo barabara iliyofungwa utakubalina na na hawa wazee uwamuzi wao ulikua sahihi barabara imegeuzwa mtoWahuhuni wanamzushia udalalali Mzee wa watu, vijana waliohusika na kumfedhehesha laana khum
Naam!..✔️✔️Kabisa Yani ukiiona hiyo barabara iliyofungwa utakubalina na na hawa wazee uwamuzi wao ulikua sahihi barabara imegeuzwa mto
Rekebisha heading, sio watishiani sema Diwani mstaafi amtishia kumfunga pingu Mh Kawambwa.Period.
Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya Jakaya Kikwete kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo.
Kwenye clip anaonekana akiburuzwa na vijana kwenye changamoto ya viwanja eneo la Bagamoyo. Mafao ya ubunge ya vipindi 2 yote yamekwisha.
Kweli siasa ni nyokooo!!
Wewe ni miongoni mwa mavijana ya hovyo humu nchini yenye akili finyu, zilizojaa makamasi, we unaujua vizuri huo mgogoro? Mtu anaharibu mazingira, anasababisha mamia ya wananchi wanashindwa kupita kwa uharibifu wa barabara uliofanywa na huyo muhuni aliyevaa kaboka na genge lake la wachota michanga, Kawambwa anazuia uharibifu, tena kwa baraka za mkutano wa kijiji ,halafu wewe unamkebehi na kumwita dalali!!! Hovyo kabisa wewe.
Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya Jakaya Kikwete kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo.
Kwenye clip anaonekana akiburuzwa na vijana kwenye changamoto ya viwanja eneo la Bagamoyo. Mafao ya ubunge ya vipindi 2 yote yamekwisha.
Kweli siasa ni nyokooo!!
Yule anaitwa Musa KawawmbwaHivi yule mtangazaji wa vipindi vya michezo pale Azam (U fm) nae si anaitwa Shukuru kawambwa?
Niliposoma title kabla ya kufungua Uzi,nikasema Kawambwa tangu lini amewahi kuwa Waziri?
Zamani kuna kisa nakikumbukaEeh mipunga kama kawaida
Mkuu mkoa wa pwani naye kazungumzaWewe ni miongoni mwa mavijana ya hovyo humu nchini yenye akili finyu, zilizojaa makamasi, we unaujua vizuri huo mgogoro? Mtu anaharibu mazingira, anasababisha mamia ya wananchi wanashindwa kupita kwa uharibifu wa barabara uliofanywa na huyo muhuni aliyevaa kaboka na genge lake la wachota michanga, Kawambwa anazuia uharibifu, tena kwa baraka za mkutano wa kijiji ,halafu wewe unamkebehi na kumwita dalali!!! Hovyo kabisa wewe.
Nilipost kadri nilivyoipata kutoka kwenye magroup kwa wakati ule. Na ninajuwa Diwani wa zamani ndiye aliishia kushikwa na Polisi.Wewe ni miongoni mwa mavijana ya hovyo humu nchini yenye akili finyu, zilizojaa makamasi, we unaujua vizuri huo mgogoro? Mtu anaharibu mazingira, anasababisha mamia ya wananchi wanashindwa kupita kwa uharibifu wa barabara uliofanywa na huyo muhuni aliyevaa kaboka na genge lake la wachota michanga, Kawambwa anazuia uharibifu, tena kwa baraka za mkutano wa kijiji ,halafu wewe unamkebehi na kumwita dalali!!! Hovyo kabisa wewe.
Limeisha hili, yule Diwani ndiye alikuwa anataka kumchafua Kawambwa. Hizo clip zilikuwa kwenye groups za WhatsApp. Ila ukweli umedhihiri. Diwani wa zamani ni mhuniRekebisha heading, sio watishiani sema Diwani mstaafi amtishia kumfunga pingu Mh Kawambwa.Period.