Shukuru Kawambwa kwenye mgogoro wa ardhi na diwani mstaafu, Hassani Usinga. Watishiana kufungana pingu

Huyo jamaa hapo alipewa kibali kuchimba mchanga na Halmashauri, Machimbo ambayo yamesababisha hilo eneo kujaa maji na kuleta mafuriko! Kawambwa ameenda hapo baada ya wanachi kumuomba akawaidie! Huyo jamaa mpaka muda huu yupo ndani.
 
Huyo jamaa aliyekuwa anambugudhi Mhe. Dr. Kawambwa ni wa jinsia gani!!

Natanguliza samaani kwa kuuliza ili swali.
 
Huyo jamaa hapo alipewa kibali kuchimba mchanga na Halmashauri, Machimbo ambayo yamesababisha hilo eneo kujaa maji na kuleta mafuriko! Kawambwa ameenda hapo baada ya wanachi kumuomba akawaidie! Huyo jamaa mpaka muda huu yupo ndani.
Hivi huyo jamaa alijiamini nini kumsukuma,kumpelekesha Dr kawambwa
Kawambwa hapo bagamoyo Ana title kubwa

Ova
 
Nilichoona ni kwamba Kawambwa kafunga njia kutumia magogo bila kuwa na kibali.
 
Wabongo kazini! Hajui kisa lakini anaeleza kama alikuwepo eneo hilo na anajua kisa kizima.
Mwenyewe nimeshangaa. Hapo namuona huyo kijana ndio hajielewi..anatumia nguvu kuliko akili.sasa anavyomfunga na kamba halafu ampeleke polisi,sasa kwa akili yake ndogo polisi watamfunga kawambwa kweli? Ni polisi mjinga atakayefanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…