Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Bagamoyo na Msoga ni mdomo na mate, Msoga na Kismkazi ni ulimi na mate, soon Bagamoyo itainuliwaKwenye clip anaonekana akiburuzwa na vijana kwenye udalali/ utapeli wa viwanja eneo la Bagamoyo. Mafao ya ubunge ya vipindi 2 yote yamekwisha